ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,351
Wasalaam wakuu
habari za masiku tele?
Bila shaka muwazima wa afya kama kawaida.
wakuu na wanajf wote kwa ujumla nina swali la kuwauliza. swali hili nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu nikawa nakosa majibu sahihi. Sasa naomba leo nililete kwenu ili tusaidiane kupata jibu ama majibu sahihi.
Hivi katika maisha yetu inawezekana kweli kuishi na mwanamke mmoja kuzaliwa kwako mpaka kufa kwako?
Je kuna watu ambao wamekufa ama kuzeeka wakiwa wametoka kimapenzi na mtu mmoja tu ambaye ndiye mume au mke? Kama jibu ni ndio, ni nani mwenye ushahidi wa hilo?
Nawasilisha kwa majibu sahihi