Mrembo wa kuoa anatakiwa

Mbadala sahihi

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
280
139
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 naitaji mke mwenye sifa zifaatazo
1.awe na umri kati ya 20-26 years
2.asiwe mnene sana
3.awe mkristu au aliye tayar kubadili dini
4.elimu angalu form four nakuendelea ila si zaidi ya bachelor degree
5. asiwe mfupi sana
6. awe tayar kuolewa wakati wowote baada ya kufahamiana
7. kaz si razima sana maana kiuchumi siko vbaya sana
8. endapo c mwajiriwa awe na wazo la kibiashara yakufanya, mtaji usizidi 3000000. kuanzia nitatoa ilimradi apate kujiajir

natumaini uzi huu unawahusu wadada tu ambao hawajaolewa. wanaume jaman tupite tu.
mwenye nia kujenga familia ani PM

Angalizo kma nia yako nikunichuna tafadhiri usijarbu maana niko makini kupita maelezo

nawasilisha
 
Is this a news Alert??
 
Weka na sifa zako tuone
sifa zangu.
1. mpole sana
2.simrefu sana wala mfupi
3. si mweupe wala mweusi
4. nilisoma nikaishia na level ya Bachelor
5. kaz yangu . Biashara na Kilimo
6.
7.
8.
9.
nitakutajia ukija kwenye PM
 
haujamalizia yakua maombi hayo vigezo vinazingatiwa wa mwisho atjibiwa kwanza na wakwanza atajibiwa mwishooooooooo.
 
sifa zangu.
1. mpole sana
2.simrefu sana wala mfupi
3. si mweupe wala mweusi
4. nilisoma nikaishia na level ya Bachelor
5. kaz yangu . Biashara na Kilimo
6.
7.
8.
9.
nitakutajia ukija kwenye PM
Ibada hua unafanya/unaenda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom