Weekend Story! The Era of Dogs

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,161
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!

Wakuu hii story niliipata nikiwa wodini baada ya kupata ajali mbaya sanaa nusra nusra almanusra nife, back in 2013. Nilikaa saa wodini, almanusra nikatwe mguu, nilihangaika sanaa, nikaenda India na kwingineko hamna sehemu sikuhangaika.

Sasa sababu ya mazingira, moods na mambo yaliyonikuta wakati huo niliandika kwa hisia sanaaa, uchungu sanaa, could have been my last story. Nilikuwa naiweka nije niitungie kitabu au niiandikie script na kuiuza. Nimewapa watu kama wa 3 hivi waisome tangia 2014 haijawatoka kichwani tunavoongea, wanaiulizia like wanatamani wajue wale characters wanaendeleaje.

Mostly ilikiwa inspired na story za wodini, historia za wagonjwa wenzangu. Sasa basi kwa ubora wa story hii siwezi kuwapeni bure.

Kinachotakiwa naifanyia FUNDRAISING kumekuwa na huyu mtanzania mwenzetu Ahmed Albety insta anatumia id ya @ ahmed_albety amepooza mda sanaa, ni mtanzania wa Tanga ana asili ya kiarabu. Sasa wamejikisanya kapelekwa China ila anatakiwa akae sanaa huko. Ni kijana mwenzetu na ni HB.

Mi nishatoa mchango wangu kitambo ila haujatosha. Sasa tuungane wana JF MWENYE 10,000 LAKI, LAKI 5 ETC ATUME HUMO 0715681380 HII NI NAMBA YAKE ILIOPO INSTA, WALA MSINIPE MIE PESA SHETANI, TUMENI KWAKWE MOJA KWA MOJA. IKIFIKA 1 MILLION NAANDIKA HIO STORY HAPA. ISIPOFIKA WALE WATAONIONESHA WAMETUMA PESA NAWATUMIA STORY PM WANAISOMA BASI.

Hospitals are so empty, so lonely so scary, kwa sisi tuliovuka salama tunajua how it feels to live with death in one room, mtu mnaongea hapo mara kaka kimya unaona pazia zinazungushwa just like that. Sasa basi fanyeni huo uungwana na utu wa kumtumia huyo mwenzetu maana mtu mzima kuomba hadharani sio rahisi, believe me, sababu nishapitia hio hali ya kutakiwa kuomba watu msaada. Ni kujivua utu sanaaa. Anyway Mungu kwangu alikuwa mkubwa leo nimesahau acheni tu.

Hio story ni nzuri sanaaa, wenyewe mnanijua sibahatishiii hii level za Art of staying married, Dare Devil, Valentine Story, yaani dude la uhakika. Usipojiongeza utasoma epilouge itakufaa sanaa. Hahahahaaa!

TUOMBE MUNGU HELA IKIFIKA 1 MILLION IJUMAA IJAYO NDO LENGO HASWAA LA KUANZA KUISHUSHA AND I WILL BE COMMITTED MAANA ITAKUWA SIO BURE VITU VINAWEKWA ON TIME. MI NAAMINI HATUSHINDWI 1 MILLION NI 20 PEOPLE WAKITOA 50,000 COME ON PEOPLE. ISIPOFIKA IT WILL BE A PITY MAANA ITABIDI NIWAPE WALIOTOA NA KUPROCEED KUKIFANYA KITABU.

THANK YOU IN ADVANCE AND LETS MAKE IT HAPPEN. NAWATEGEMEA MSINIANGUSHE
 
Hii ingekuwa stori na si ombi la michango hapa kungekuwa na pages 200!
 
Kusaidia tunatakiwa tusaidiane bila hata ya story najaribu kuwaza hata wakipatikana watu 200 humu wakatoa 5000 hiyo pesa inafika.Tatizo voda au tigo watu wametumia majina halisi humu ya kubumba sijui link inakuwaje hapo?
 
Dada Lara 1 tunahitaji kumsaidia mwenzetu,sasa wengi tunatumia majina ambayo unaelewa maana yake,sasa tukituma kwa hiyo no how wewe utapata taarifa kwamba nimetuma?
 
Mimi huyo kaka simjui, na hio namba wanachangia watu wengi so nitajuaje ni wewe ndo umechanga? Plus unaweza hata mwambia wakala aweke direct.
 
Kusaidiana Ni vyema kusiwe Na masharti.....!

Hii ni fund rasing, wala sio masharti na sio kitu kigeni, mimi binafsi nimeamua nitumie story yangu ku raise funds for Ahmed. Hata vyuo vina raise funds kwa kutoa honorary degrees and tittles, makanisa pia yanatoa noble tittles kuraise funds au wanafanya ule mnada mbuzi wa kuuza vitu si kwa thamani yake to raise funds for a particular project.

For those watakao changia kama shukrani nitawapa that story sababu ina sentimental value to me. Na hela ikifika wataochangia watawezesha na wengine kuisoma the story.

This is charity and charity is not for everybody.
 
Dada Lara 1 tunahitaji kumsaidia mwenzetu,sasa wengi tunatumia majina ambayo unaelewa maana yake,sasa tukituma kwa hiyo no how wewe utapata taarifa kwamba nimetuma?

Wewe kama hutaki mimi nikujue tuma niambie umetuma kiasi flani MIMI NITAKUAMINI, USINIONESHE SMS WALA NINI, KAMA UNANIDANGANYA MUNGU NDO ANAKUONA. Mimi i will give you the benefit of the doubt.
 
Hii ingekuwa stori na si ombi la michango hapa kungekuwa na pages 200!
Hahahahaaaaa! Watu wanatoa hivo hivo si unajua mambo ya hela yanahitaji patient. Kiukweli sikutegemea muamko uliopatikana. Na kipindi hiki cha JPM watu wanatoa huwezi amini. Nashukuru Mungu kwa kweli.

Looka at the guy he is always smiling.
 
Ni jambo jema,na iwe kheri InshaAllah tuipate hiyo story.
Ila Lara nafikiri ungefanya hivi....
Ungetoa hiyo hadithi katika mtindo wa episodes kama ufanyavyo,iwe kila episode una target kiasi fulani kipatikane ndipo ushushe nyingine.
I swear hii ingefanya kazi zaidi maana watu wangekua na shauku kubwa zaidi ya kujua kifuatacho kuliko hivi bilabila.

Nadhani watu wangeonja utamu ingekuwa rahisi zaidi kuchangia.
Just an advice anyway....
 
Hatushindwi ngoja tuone kwa tunavoenda tunaweza kufika.
 
Hahahahaaaaa! Watu wanatoa hivo hivo si unajua mambo ya hela yanahitaji patient. Kiukweli sikutegemea muamko uliopatikana. Na kipindi hiki cha JPM watu wanatoa huwezi amini. Nashukuru Mungu kwa kweli.

Looka at the guy he is always smiling.
Nampongeza kila aliejitolea kwa kiasi chochote pamoja na wewe kwa mwamko huu.
 
Ni wazo zuri na ninaliafiki na nitachangia., ila sitachangia kwa ajili ya kutaka story, nitachangia kwa kuwa nimeguswa na tunapaswa kusaidia wanaohitaji misaada yetu.

Mungu amponye kijana mwenzetu, arudie kwenye hali yake.

Thanks for sharing.
 
maisha yangu sitokaa nimsaidie mtu...
nishatesekaga sana nikakosa hata sh mia hakuna alienionea huruma yaani
Mungu atamsaidia tu kama alivonisaidia
 
maisha yangu sitokaa nimsaidie mtu...
nishatesekaga sana nikakosa hata sh mia hakuna alienionea huruma yaani
Mungu atamsaidia tu kama alivonisaidia
Sasa unatuvunja moyo kwa sababu ya chuki zako eti hukusaidiwa na leo hutaki kusaidia mtu maishani mwako,inawezekana hukusaidiwa sababu ya roho yako mbaya saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana EBOOOOOOOOOOOOOO SHWAIIIIIIN.
 
sina roho mbaya na sijawai kuwa na roho mbaya najiamini
 
Back
Top Bottom