mtajiEndelea tu kumchezea huku ukisubili na wewe kuja kuumizwa na kugeuzwa mtaji.
"mwosha huoshwa pia"
Halafu huyo bwege utakuta anapendwa kiukweli na jamaa lakini Ana watolea nje..Hii yote inatokana na ye kuwa king'ang'aniz kwangu,nimemuumiza vya kutosha ila ye hatak kunielewa,mwishowe nimeamua kumchukulia kama chombo cha starehe 2.cjui ka nakosea wakuu?
Plz, sio kuchezea bahati. Huyo kaka ubaya wake ni kuendelea kuzini na mtu asiyempenda na asiye mke wake. Kitendo hcho ni cha kikatili kabisa. Hastahili kuwa binadamu.Mkuu naomba usimfanyie ukatili wa mapenz huyu binti. Najua huwez kunielewa ila ipo siku utanielewa tu. Unapomuacha mtu anayekupenda kwa dhati huwa kuna laana ambayo unaipata sawa sawa na mtu akipata pesa anaanza kufanyia starehe mwisho wa siku atakuwa choka mbaya tu. Kuna watu sasa hiv wanalia na kujuta kwa kuwaacha watu waliojitolea kuwapenda. Upendo wa dhat hanunuliw dukan ni gift. Kila mtu kaumbiwa m'penz wake wa maisha wakati mwingine huwa tunawakataa wapenz wetu tulioumbiwa kwa kujua au kutokujua kwahiyo utakaye kutana naye ha'po hautataman tena mapenz. Ila mkuu kumbuka malipo ni hapa hapa dunian. Hebu fikiria km ww ndio unafanyiwa hiv utajisikiaje? Aise kuna watu wanachezea bahat
Hii ndio naisubiri kwa Yule , yuleeee inakuja tuuHamna ktu naheshmu kama mapenz , nilishamfanyia mtu ujinga sababu nilijua ananipenda, alilia binti wa watu siku nne kula hali mpaka wenzake wamuombe, mara ya mwisho kukutana nae aliniulza maswal paul umeshawah kupenda nikamwambia ndio akakataa akasema ungekuwa umeshawah penda usingenifanyia hv ungejua wat i feel! nkampuuzia sema aliniachia ka laana hv akaniambia utakuja kpata nilichopata, tukaachana , sa hv naugua hapa na mm nimeachwa! daa haya mapnz bac
Mwambie HuyoMkuu naomba usimfanyie ukatili wa mapenz huyu binti. Najua huwez kunielewa ila ipo siku utanielewa tu. Unapomuacha mtu anayekupenda kwa dhati huwa kuna laana ambayo unaipata sawa sawa na mtu akipata pesa anaanza kufanyia starehe mwisho wa siku atakuwa choka mbaya tu. Kuna watu sasa hiv wanalia na kujuta kwa kuwaacha watu waliojitolea kuwapenda. Upendo wa dhat hanunuliw dukan ni gift. Kila mtu kaumbiwa m'penz wake wa maisha wakati mwingine huwa tunawakataa wapenz wetu tulioumbiwa kwa kujua au kutokujua kwahiyo utakaye kutana naye ha'po hautataman tena mapenz. Ila mkuu kumbuka malipo ni hapa hapa dunian. Hebu fikiria km ww ndio unafanyiwa hiv utajisikiaje? Aise kuna watu wanachezea bahat