Mwendokasi na Watoto wazuri wa Kike!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Msimamo wangu wa kuto kuja kuoa na kuwa na mtoto bado upo palepale! Ila haimaniishi kuwa watoto wakike wazuri,wasafi kimwili,na wenye shape nzuri za kila aina sitaweza kuwaona!

Hakika sasa watoto wazuri walio wengi ambao walikuwa wakiomba lifti na kuchukuliwa kwenye Private kaa,tax na bajaji sasa wamehamia kwenye Basi ya mwendo Kasii huku wakijichukua selfie za kila aina!!! Kwa joto la Daa lilivyo ilikuwa ni adimu sana kuwakuta kwenye daladala zetu zile lakini sasa wapo kwenye mabasi ya mwendo kasi

Siku ya kwanza nikitokea kimara kwenda posta mida ya sa saba mchana nilipanda na kukaa siti moja na mtoto mmoja matata sana huku akiniomba simu yangu ajipige selfie! Alijipiga za kutosha na kuniachia namba nimtumie whatsapp! Kiulaini nikifanikiwa kuchukua namba zake katika kumdodosa aliniambia yeye daladala hatumii sana so gari yake ilikuwa imepata hitilafu nilijua fika kabisaa huyu ni swagaa ananipiga!! Kwa haraka haraka nimekutana karibia na watoto wazuri na wakali 6 huku wakijisema wao hawajazoea Daladala!!

Nikupe siri sasa ukitaka kuwapata hawa watoto wazuri wenye njaa kali kwenye Mabasi ya mwendo Kasi nenda kimara mwisho wakati wa kupanda na kushuka kwenye lile daraja,panda magari ya mwendo kasi mida ya mchana wakati jua kali linapiga! Pia usikuu baada ya abiria kushuka hasa ile barabara ya kwenda morroco,Gerezani hakika utajionea mwenyewee

Japo kituo cha kimara na fire nimewaona watoto wakali wawili wakikatisha tiketi pale japo nashindwa kuchukua namba kutokana na msongamano wa abira pale kimara,ila wa Firw nitamfungia kazi maana nirahisi!!

Siwapigii chapua basi ya Mwendokasi ila kiukweli watoto wazuri wote wa DADY CAN I USE U'R CAR? wapo kule wale wote wa NJOO NICHUKUE JUA KALI NA FOLENI HII! Wapo kule sasa!
 
kwa mwendo huu ukimwi utasonga mbele tu.. juu zaidi ya uchumi wa nchi. Haya mkuu wadau tumesikia acha na sisi tujiunge, tukuunge mkono kamanda tobo wa tobo, kituo kwa kituo, basi kwa basi/.
 
Msimamo wangu wa kuto kuja kuoa na kuwa na mtoto bado upo palepale! Ila haimaniishi kuwa watoto wakike wazuri,wasafi kimwili,na wenye shape nzuri za kila aina sitaweza kuwaona!

Hakika sasa watoto wazuri walio wengi ambao walikuwa wakiomba lifti na kuchukuliwa kwenye Private kaa,tax na bajaji sasa wamehamia kwenye Basi ya mwendo Kasii huku wakijichukua selfie za kila aina!!! Kwa joto la Daa lilivyo ilikuwa ni adimu sana kuwakuta kwenye daladala zetu zile lakini sasa wapo kwenye mabasi ya mwendo kasi

Siku ya kwanza nikitokea kimara kwenda posta mida ya sa saba mchana nilipanda na kukaa siti moja na mtoto mmoja matata sana huku akiniomba simu yangu ajipige selfie! Alijipiga za kutosha na kuniachia namba nimtumie whatsapp! Kiulaini nikifanikiwa kuchukua namba zake katika kumdodosa aliniambia yeye daladala hatumii sana so gari yake ilikuwa imepata hitilafu nilijua fika kabisaa huyu ni swagaa ananipiga!! Kwa haraka haraka nimekutana karibia na watoto wazuri na wakali 6 huku wakijisema wao hawajazoea Daladala!!

Nikupe siri sasa ukitaka kuwapata hawa watoto wazuri wenye njaa kali kwenye Mabasi ya mwendo Kasi nenda kimara mwisho wakati wa kupanda na kushuka kwenye lile daraja,panda magari ya mwendo kasi mida ya mchana wakati jua kali linapiga! Pia usikuu baada ya abiria kushuka hasa ile barabara ya kwenda morroco,Gerezani hakika utajionea mwenyewee

Japo kituo cha kimara na fire nimewaona watoto wakali wawili wakikatisha tiketi pale japo nashindwa kuchukua namba kutokana na msongamano wa abira pale kimara,ila wa Firw nitamfungia kazi maana nirahisi!!

Siwapigii chapua basi ya Mwendokasi ila kiukweli watoto wazuri wote wa DADY CAN I USE U'R CAR? wapo kule wale wote wa NJOO NICHUKUE JUA KALI NA FOLENI HII! Wapo kule sasa!

Hii inasikitisha
 
T-shirt zetu hizi
 
Attachments

  • FB_IMG_1464806164966.jpg
    FB_IMG_1464806164966.jpg
    22.4 KB · Views: 71
Back
Top Bottom