Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,041
- 39,987
Nibebe nibeebe nibeebe nibeebe nibembeleze nibeebee Eeeh baba unibebe nichukue unibeebee mikononi mwako ntakuwa salamaaa.
Eeh Mungu uangalie kunena kwangu na uisikie sauti ya kilio changu...
Moyo wangu umekufa ganzi. ..... kwa ajili ya wingi wa mawazo na huzuni
Niokoe mikononi mwa watu wabaya.... fanya hiimaa unisaidiee niibeebeeee. .....
Weenginee wakinibeba watanipeleka pabaya baba nibeebe marafikii wakinibeba nitaambulia manyanyaso baba nibebe dunia ikinibeba itanitupa shimoni baba nibebe. ...
Baba nibebe eeh nibebe nibembeleze nibebe kifuani mwako niwe salamaa.
Kasie nibebwe mie.
Kasie.