Micheweni Pemba
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 351
- 179
Habari zenu Wanajamii,
Nilizaliwa miaka 28 iliyopita katika familia ya watoto 5,nimebahatika kupata elimu ya Digrii ya kwanza katika Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE).
Wakati nikiwa Chuoni mwaka wa kwanza nilibahatika kupendwa na mtoto mzuri sana SHOMBESHOMBE la Kiarabu mwenye asili ya Zanzibar,kusema ukweli huyu mtoto alinizimikia sana hadi akawa ananifata nyumbani kwetu Magomeni,wakati huo nilikuwa nikiishi na baba mkubwa kabla ya kuhamia hostel za Kigamboni (Mji Mwema).
Kilichonivutia kwa mtoto yule ni umbile lake lilojengeka kike utasema kajitengeneza mwenyewe,alikuwa na umbile la kike haswa,nywele za kuteleza hadi kiuononi kwake zinateleza bila ya kuweka mafuta,isitoshe alikuwa na kiuno kikubwa sana hadi alikuwa analalamika nimshauri afanye nini ili kipungue,na pia alikuwa na maziwa saa sita,ambayo ni madogo kiasi,nilikuwa nikipenda kuyatia mdomoni bila kuacha hata kidogo,kiukweli hadi sasa naandika hii post sijawahi kumuona mwanamke kama yule.
Nakumbuka mara yangu ya kwanza kuhamia pale Kigamboni ni yeye aliyenipa shilingi laki tisa na nusu taslimu (950000) ili nikodi chumba na pia alikuwa hapendi tufanye mapenzi kwasababu alisema kwao wanakuwa wanaangaliwa kama tayari wameshafanya mapenzi au laa.
Kama unavyoelewa watu wa jinsia mbili tofauti hawakai pamoja,nakumbuka ilikuwa ni siku ya Jumamosi,alinifata kwa room kwa maongezi ya kawaida,but cha kushangaa siku hio alipendeza sana,na pia alikuwa ananukia kama jini,kufika tu alilala kitandani kama vile kachoka,nilianza kumchezea mwili wake huku akihema sana,na kulalamika kuwa nisije kumuacha nikatafuta msichana mwingine.
Kusema la ukweli sikuwahi kufanya nae mapenzi kwasababu mazingira tuliyokuwa tunakutana hayakuturuhusu, na pia, alikuwa ananisisitiza kuwa yeye ni bikira,kwa hio nitamuumiza,nilijitahidi kumchezea mwili wake hadi akaji.....,kabla ya kuanza hata tendo la ndoa,kiasi ya kwamba alinitamkia mwenyewe nimvue nguo zake za ndani,nami nikafanya hivo ni kweli nilifanikiwa kumkata bikira yake lakini haikuwa hapo hapo kwani ilibidi abaki room kwangu siku mzima hadi Jumapili yake.
Kinachoniumiza hadi nikaamua kuandika hivi kuomba ushauri wenu,ni kuwa yule msichana tuliendelea kufanya mapenzi kwa sana hadi tukamaliza chuo,but aliporudi kwao alitokea Mwarabu mwenzake akamposa,na bila ya kunishauri akaolewa,lakini kwa bahati mbaya yule bwana aliyemuoa,ALIKUWA NA MATATIZO YA KUSIMAMA UUME WAKE,Kwa hio alinipigia simu nimfate zenji ili tuje tupange.
Nilipanda ndege hadi Zenji,nilipofika huko alinielekeza nimfuate kwake KIEMBESAMAKI,cha kushangaza ameniambia tanitafutia nyumba niishi Zenji,ili tuendelee kufanya mapenzi.
Kusema la ukweli naiheshimu ndoa yake kwasababu sijui mume wake akitugundua atanifanya nini,na pia naogopa dhambi kwa Mungu,lakini nampenda sana,maana sijawahi kumuona mwanamke yeyote amabaye ana bikira zaidi yake,wote ninaokutana nao wanakuwa wazi.
Naomba munishauri vipi ni kweli niendeleze mapenzi nae? Au ni bora niachane nae au nimshauri achane na yule mumewe ampe talaka ili nimuoe mimi.
Nishauirini jamani.