Nimeanguka kwenye penzi la mume wa mtu

Unataipia miguu ata ivo usijali kikubwa cha kuogopa ukitrmbea na mke/mme wa mtu ni kulogwa na mapanga kama sio visu
 
Mji huu ninaoishi kuna dada mmoja alijikwapulia mume wa mtu, mwenye mme akaona isiwe tabu, akamtafuta mtaalam akafanya yake, mwizi wake aliugua ugonjwa usiojulikana...

pima vipimo vyote hamna kitu.
Umeshaona hospital kubwa tu wanakudischarge wakati hali ya mgonjwa ni mbaya...
Huu mwaka wa sita yuko kitandani huduma zote hapo hapo.
Ndugu zake wakampeleka kwa mganga, akawaambia kuna mtu hapa ameingia anga zake amtafute amuombe msamaha ndo mrejee.... alipofatwa sasa mwenye mme wake kuombwa msamaha... Mh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom