Simuelewi huyu baba ana maana gani

Simuelewi huyu baba ana maana gani

kipepeo mweusi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
244
Reaction score
71
Habari zenu wana JF, let me go straight to the point.

Huyu baba ni mtu mzima ambae sikatai alikuwa ananisaidia usafiri kipindi nikiwa naelekea chuo ambako nae ofisi zake zipo huko, ukiwa ndani ya gari yake anapenda sana kugusia kuhusu masomo, maisha, na kujichunga ukiwa kama kijana kuhusiana na mahusiano.

Sasa cha kushangaza hapendi kuniona hata nikiwa nasalimiana na vijana wenzangu ambao tumekuwa nao tangu utotoni.

I mean tuliochezea nao vifuu na kidali poo since we were young.

Tukikutana njiani bahati mbaya au nzuri nikiwa peke yangu au nikiwa na wa jinsia yangu anasimamisha gari ananisalimia kwa bashasha hata kwa dakika 30.

Ila kama kawaida akiniona na jinsia tofauti atanipita kama hanijui na atanikasirikia hata siku nyingine akiniona niko peke yangu.

Ila baada ya muda anakuwa tu kama kawaida.

Mimi naamua tu kumchunia vipi uamuzi huu uko sahihi au ntakuwa nakosea wana JF?
Nisaidieni nawasilisha.
 
Hapa kuna kitu wewe na huyo mzee, ila unashindwa kumwaga mambo yote hadharani unatuwekea nusu nusu, ila watu wa kuelewa tushajua kinachoendelea
 
una tatizo gani? Chuo gani hicho wasoma,kina mwanafunzi kama wewe ambaye hujui una nini hapo kati ya mapaja.?
sidhan kama kuna umuhimu sana wa kutaja chuo nilichosoma, ila Mimi sipo kama hvyo unavyonifikiria ndugu yangu Data
 
mmmh kama anakupa chapaa tulia tulia kidogo punguza hao vijana... jioni njema
Miss chaga, iko hivi sijawahi kumuomba pesa yake, hakuwahi kunipa na sikuwahi kufikiria hvyo namuheshimu tu kama baba yangu na there was and there is nothing between me and him zaidi ya lift tu..so mi ndo namshangaa sasa
 
mbona kila kitu kiko wazi... labda kama alishakulala ndio ujiulize mara mbili mbili
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom