Amenisaliti, leo 'narevenge'

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,430
3,532
Habarini wapendwa,

Mwanamke wangu ninayempenda juzi aliniletea laptop yake nimrekebishie ilizima ghafla wakati anatumia.

Leo nimefanikiwa kuitengeneza katika kutumia nikaiingia kwenye acc ya Fb alikua hajalogout kipindi inazima, madudu niliyoyakuta huko kuna mwanaume ana maahusiano naye.

Tena inaonyesha hata kale kamchezo kabaya wanafanya kuna meseji yule mwanaume anaandika;

Jamaa: "kwanini siku ile uliamua tufanye vile"

Yeye: nilikuwa kwenye siku hatari

Jamaa: si tungetumia nd.mu

Yeye: nd.m sipendi inaniumiza

Ukicheki text hizo kuna kitu kisicho cha kawaida walifanya sasa leo nimeamua akija kuchukua laptop tutafanya hayo yote ndipo nimwache nilikuwa namweshimu kumbe wenzangu wanaenda extra mile.

Nimeandika kupunguza hasira, nitakieni kisasi chema.

UPDATE
jamani yule mwanamke alikuja mida kama ya sa1 hivi kama nilivyopanga japo sijafanikiwa kila kitu but atleast nimepata relief kidogo na kule kushika maiki ambako nilikuwa namwonea huruma leo kafanya kuepuka kuonekana na grolify uovu sitaeleza mambo yaliyofanyika, katika utetezi wake mwanamke anadai yule jamaa sio mpenzi wake walifahamiana fb na siku ya kuonana ilikuwa ni mara ya kwanza na sikweli kuwa alimpa 0713 bali alimpa afanye kwnye mapaja, nikamuuliza kama ni hivyo kwann jamaa hakukuuliza lodge sababu ya kumpa mapaja mpaka akuulize fb, hakuwa na majibu ya maana zaidi ya kulia utetezi wake nimetupilia mbali na inavyoonyesha jamaa hana future na huyu mwanmke manake kalia sana kuomba msamaha ila bahati mbaya siwezi rudi nyuma.
ahsanten sana kwa ushauri wenu kisasi kimeisha salama.
 
habarini wapendwa,
mwanamke wangu ninayempenda juzi aliniletea laptop yake nimrekebishie ilizima ghafla wakati anatumia. leo nimefanikiwa kuitengeneza katika kutumia nikaiingia kwenyr acc ya fb alikua hajalogout kipindi inazima, madudu niliyoyakuta huko kuna mwanaume ana maahusiano nayr tena inaonyesha hata kale kamchezo kabaya wanafanya kuna meseji yule mwanaume anaandika
jamaa: "kwann siku ile uliamua tufanye vile",
yeye: nilikuwa kwenye siku hatar
jamaa: si tungetumia nd.mu
yeye: nd.m sipend inaniumiza
ukicheki text hizo kuna kitu kisicho cha kawaida walifanya sasa leo nimeamua akija kuchukua laptop tutafanya hayo yote ndipo nimwache nilikuwa namweshimu kumbe wezangu wanaenda extra mile.
nimeandika kupunguza hasira nitakieni kisasi chema...

Magojwa je ? Kisasi chochote hakikisha we hauathiliki katika namna yoyote ile
 
Teh, pole sana mkuu! Ulikuwa unawatunzia wenzio siyo

''Extra mile''
 
Mh ina maana na mwezi huu wa kesho tusiingie humu?maana hili balaa sasa.
 
Back
Top Bottom