Mwanamke anayekata kiuno sana, kuzaa ni shida

Mwanamke anayekata kiuno sana, kuzaa ni shida

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,635
Reaction score
62,526
Habari zenu wakuu,

Natumaini wote mpo poa kabisa.

Naombeni experience hasa wale wanaozaa. Mabibi watu wazima wanapomuona mwanamke anayekata mauono sana akiwa anacheza muziki, huwa anamhurumia sana na kusema huyu dada anacheza hivi atazaaje?

Hata wale wanaokatika sana kitandani huwa nao wanakua kwenye hatari kubwa ya kuzaa, ndo maana wadada unapokua naye chobingo, mara nyingi hakati kiuono ili usidhani hatazaa.

Hawa madada asilimia kubwa wanakata mauno, ukitaka uamini, zoeana naye utaona.

Swali langu: Kukata mauno inahusiana nini na kuzaa?. Mia
 
Haina uhusiano jamani,minna watoto sita mapacha na kukatika wala kukalia nani sijui hakuja nidhuru,umri unachangia sana,hormone,na hata uimara wa mlango wa uzazi,labda usemekuharibika mimba ilasio kuzaa,sijawahi sikia
 
Viuno vyenyewe km vya kwny chura???hyo atakuwA hajaaliwa tu kuijaza dunia!!mana chura ni kutikisa furushi tu hata via havickii!!
 
Back
Top Bottom