Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Status
Not open for further replies.

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,662
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Wanawake wa kichagga na kihaya wanatumalizia ndugu zetu. Yaani hawa wanawake ni so strategic, wananyatia wanaume (hata simba na ufundi wake wa kuwinda hawafikii) wenye mafanikio au dalili ya kufanikiwa tu! Wanaume waliosoma, wenye hela au biashara kubwa kubwa. Mbaya zaidi wakishaolewa wanawaendesha hao wanaume mpaka wengine wanakufa vifo vya ghafla kama vile kwa presha! Mrengo wao kimaisha ni kujenga kwao.

Ndugu zangu na rafiki zangu asilimia kubwa wenye mafanikio na elimu wote wameoa wachagga au wahaya, yaani badala ya kuwapenda hawa wanawake kwa sababu ni shemeji zangu, badala yake sina amsha amsha nao kabisa. Mwaka jana kulikuwa na harusi kama 18 hivi ambazo nilihusishwa kwa sababu ya ukaribu au undugu, yaani kati ya hizo 16 mchagga au mhaya anaolewa! Niligoma mgomo baridi, vikao wala michango sikutoa! Mbaya zaidi kuna jamaa nimesom naye UDSM rafiki wa damu, tuliapa viapo vyote, tukae mbali na wanawake wa kichagga na kihaya, cha ajabu juzi ananitumia ujumbe wa simu kuwa anaoa na nilivyohoji shemeji ni wa wapi, akaniambia mchagga. Yaani anamezwa na zimu tulilolikwepa kwa zaidi ya miaka kumi!

Wakuu hii hali ikoje kwa jamaa/ndugu zenu? Wanawake wa kihaya na kichagga muwe na uungwana japo kidogo.
 
Aisee nina uchungu, naona hata mgawanyo wa rasilimali nchini asilimia kubwa itakuwa inaenda kwa wachagga na wahaya, wataendelea kujenga makwao wakati jamii nyingine ikiendelea kuugulia maumivu! Unakuta jamaa kazalisha mwanamke wa kabila lake au lingine lakini anamwacha, watoto wanateseka badala yake anaoana na mchagga au mhaya, ikishindikana kabisa kuoa anakuwa mchepuko, mbaya zaidi unakuta ndoa ina malumbano mwanzo mwisho, haivunjiki, ikivunjika jamaa amefilisika.
 
Ukweli ni kwamba wachaga, wahaya na wahehe na wanawake wa makabila mengine wachache wa kubahatisha ndio wife materials kwa hapa Tanzania.

Ukiwa mwanaume uliye pevuka, unajielewa akilini uwezi kuoa msambaa, mgogo, mrangi, mnyaturu, mzaramo, mmakonde na makabila mengineo.

Sasa hivi watu tunaoa makabila yanayojishughulisha, wenye kupenda maendeleo.

Sababu ya kurestishana in peace sii kweli, ni dhana potofu.

Ila kama wewe ni mwanaume dhaifu, mvivu, una mfume dume, huna future, una wivu,mariao kamwe achana kuoa hayo makabila wachaga na wahaya, utakimbia wewe mwenyewe familia yako. Bora muhehe anauvumilivu
 
Sasa wakifa wewe inakuuma nini kufa wewe kama unaona wanafaidi

Hao jamaa wanatesa ndugu, acha kabisa. Unakuta wazazi wake walimsomesha kwa kujinyima, cha ajabu jamaa anafanikiwa, kumnunulia mama yake japo kanga tu hakuna, wadogo zake wanahitaji ada hata elfu 20, au hela ya kununua tu uniform za shule hawapati, lakini upande wa mke wa kichagga au kihaya anasomesha ndugu zake hata 3, tena private schools! Hili swala ni kama hati ya dharura bungeni!
 
Ngoja tuwasubiri waje wakujibu....uchungu wako uko dhahiri mkuu. Pole kwa experience mbaya na hao ndugu. Bahati nzuri Wachaga ni jirani na watani zangu.

Ila inaonekana ume-generalize sana mkuu. Wapo wazuri kwenye hayo makabila uliyotaja....tena wengi. Nafikiri ubaya wa mtu/mwanamke ni hulka/tabia yake tu binafsi kutegemea na malezi, dini, values zake n.k n.k. Kabila per se sio ishu hasa siku hizi ambapo makabila mengi yameshachakachuliwa sana kutokana na muingiliano wa watu kutoka makabila/jamii nyengine. Mimi nafikiri la muhimu ni kwamba one only needs to play his cards pretty well wakati wa kuchagua mwenza. Regardless of kabila!

Anyways, ngoja nikae pembeni nijifunze kutoka kwa walengwa wa hii mada
 
Mimi baba yangu,aliniambia nisioe mchaga, sikumwelewa anamaanisha nini ila Siku zilisonga na kuzidi kuona mahusiano ya kichaga, wanaume wengi wanadedi na kuwaacha wenza bado wana nguvu sana, mwishoe mama anabaki pekeyake na watoto, nduguyako atii mguu pale, sikufanya makosa sijaoa mchaga aisee, ukweli mchungu wachaga waache waoane wenyewe kwa kweli, mwezi wa kumi na mbili waende kwao wakale Xmas
 
Mimi ningapata mchaga ningemuoa huyo huyo kwa sema nimempata mtoto wa kipare mwenzangu.. Ubahili uchoyo mwanzo mwisho wote bila bila mbwa kameza mbwa
Hongera kiongozi. Mimi tangu nipate akili ya mahusiano nilisema siji kuoa mwanamke wa kipare. Wengi wao ni malaya mno (japo siku hizi umalaya hauna kabila), wakorofi na wana umimi mwingi.

Lakini pia sikuwa na info yoyote kuhusu wachaga. Hata hili la kuuana nimekuja kulijua hivi karibuni, siamini sana katika hilo. Ila ni hardworking sana hawa watu wanapenda maendeleo mno na walio wengi sio wa kukaa chini kusubiri kulishwa na kupewa kila kitu...
 
Hao ndio wanapenda umimi wpo tayari mama yako au baba yako afe kwa ugonjwa lakini hela ikajenge kwao, uliza au tazama kuzunguka ulipo.
 
Ukweli ni kwamba wachaga, wahaya na wahehe na wanawake wa makabila mengine wachache wa kubahatisha ndio wife materials kwa hapa Tanzania.

Ukiwa mwanaume uliye pevuka, unajielewa akilini uwezi kuoa msambaa, mgogo, mrangi, mnyaturu, mzaramo, mmakonde na makabila mengineo.

Sasa hivi watu tunaoa makabila yanayojishughulisha, wenye kupenda maendeleo.

Sababu ya kurestishana in peace sii kweli, ni dhana potofu.

Ila kama wewe ni mwanaume dhaifu, mvivu, una mfume dume, huna future, una wivu,mariao kamwe achana kuoa hayo makabila wachaga na wahaya, utakimbia wewe mwenyewe familia yako. Bora muhehe anauvumilivu

Ok ndio vizuri wewe unasomesha shemeji zako watatu lakini mdogo wako, hujawahi kumnunulia hata daftari na huyo mkeo wife material anaona sawa, kwenu hujawahi kwenda tangu upate kazi lakini kwa mkeo mchagg au mhaya safari haziishi, tena hadi kujenga huko unajenga, ati, niliona nijenge Moshi kwa sababu baba mkwe ametupa zawadi ya kiwanja, - bwege kabisa!
 
Ngoja tuwasubiri waje wakujibu....uchungu wako uko dhahiri mkuu. Pole kwa experience mbaya na hao ndugu. Bahati nzuri Wachaga ni jirani na watani zangu.

Ila inaonekana ume-generalize sana mkuu. Wapo wazuri kwenye hayo makabila uliyotaja....tena wengi. Nafikiri ubaya wa mtu/mwanamke ni hulka/tabia yake tu binafsi kutegemea na malezi, dini, values zake n.k n.k. Kabila per se sio ishu hasa siku hizi ambapo makabila mengi yameshachakachuliwa sana kutokana na muingiliano wa watu kutoka makabila/jamii nyengine. Mimi nafikiri la muhimu ni kwamba one only needs to play his cards pretty well wakati wa kuchagua mwenza. Regardless of kabila!

Anyways, ngoja nikae pembeni nijifunze kutoka kwa walengwa wa hii mada

Nakuambia hivi labda uniambie wanawake wa kichagga au wahaya ni walozi, hivi unajua kuna watu mama zao wamewasomesh kwa kufanya biashara za ajabu sana tena za hatari, kama vile kuuza gongo halafu tangu wakutane na wanawake wa haya makabila hawakumbuki kama wana wazazi au wana makwao?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom