Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
Wadau poleni na swaumu,
Jamani naombeni kujua mke mzuri ni yupi?mwenye kazi au asie na kazi?achana na tabia tuangalie upande huo,je kuna faida au hasara ya kuwa na mtu ambaye ana kazi au hana.....
Najua vijana wengi tunapenda wasichana wenye kazi ila vipi kama hana kazi waweza kuoa?nahitaji mrejesho kwa wale walioa wenye kazi watupe changamoto zao na wasio na kazi vile vile.
Asanteni na karibuni