Kwa nini ukimuona mpenzi wa zamani aliyekuumiza unashikwa na hasira na uchungu tena?

Baby M

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
1,042
1,250
Habari zenu bandugu.

Msaada wa ushauri mwenzenu.

Leo nimekutana na x ambaye ni muda wa miez 6 sasa ushapita toka tuachane sababu alitia mwanake mwingine mimba, iliniuma sana sababu nilimuamini kwa kiasi fulani, ilibidi nimwambie tuachane.

Kabla ya leo kumuona, miezi miwili baada ya kuachana alinitafuta akitaka turudiane akidai it was a mistake yeye kuzaa na mwanamke wake but ananihitaji, niligoma sababu nilijiweka kwenye position ya mama watoto wake nikaona its so unfair kuendelea nae wakat ana family tayari na anafaa aijali na kuipenda or angenifanya tuu side chick wake, tho i know the world is not fear kihivyo.

Alisisitiza bado ananipenda nilikataa kurudiana nae ila tukikutana njian tukionana (hatuongeleshani tho) or ikitokea nimemuona nashikwa na hasira sana yan i wish ningekua na bastola ningesukuma risasi or nimfanye chochote kibaya. after that taomba Mungu anisamehe coz nawaza mabaya juu ya mtu kitu ambacho mwenyewe sipendi but inanitokea unconsciously.

Tho najua nimemsamehe na yeye aliniomba msamaha alinikosea, na mimi kumwambia nimemsamehe sina kinyongo na yeye tena. but when i see him i react in a hatred way.

Naombeni ushauri tuu vile ya kukwepa hii hali ya ku`react vibaya nikimuona, kiukweli siipendi.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
40,322
2,000
the best way kwako ni kumtafuta na kumwambia yote yaliyo moyoni mwako..
uongee bila kumuogopa...mwambie unatamani kumpiga risasi na unamchukia sana....
utashangaa ukishatoka hapo yameisha....unahitaji kuyatoa kifuani mwako
kujifanya mstaarabu umeshindwa....so mtafute mpe makavu utapona.....
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,490
2,000
bado haujamsamehe.....ndiyo maana ukimwona unakasirika zaidi.....

kubali hali halisi kwamba ilitokea hivyo.....na umemsamehe na maisha lazma yaendelee......
Ha ha ha sister.. Unaujua msemo ule wa "there's a thin line between love and hate"..?

Inavyoonekana Baby M bado ana mahaba (current yamefunikwa maumivu ya kuwa betrayed) mazito kwa ex wake.. Ushauri wangu kwake ni kukaa na ex wake kuyazungumza.. Either wakubaliane kuachana (kwa njia hiyo maumivu yatageuka huzuni na sio hasira tena) au mahaba yaendelee baada ya x kulipishwa faini kwa kosa la ku-cheat..

Hii ndo defination ya "follow ur heart'..
 
Last edited by a moderator:

sister

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
9,019

mahaba yanaonekana yapo.....lakini pia moyo wake bado umekumbatia maumivu ingawa anajifanya kasamehe......

ukisamehe unaanza ukurasa mpya unayaacha yote.....na ukikubali kuendelea nae basi usiwe wa kukumbushia.....yani huyu hata ampige fine lakini bila msamaha wa kweli bado ana kibarua kizito......
 
Last edited by a moderator:

kelvin john

Member
Oct 15, 2014
26
45
Mapenz ni ugonjwa mnaweza kuachana alafu ukampata mwingine mwenye tabia kama ile ile kosa si kosa kurudi sasa hapo yatoe ya moyoni bhana utapona
 
Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
26,924
2,000
Hujamsamehe mwenzako lakini pia unaumizwa na hali ya upweke. Hem tafuta wa kuihuisha nafsi yako utasahau hayo machungu.
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,490
2,000
mahaba yanaonekana yapo.....lakini pia moyo wake bado umekumbatia maumivu ingawa anajifanya kasamehe......

ukisamehe unaanza ukurasa mpya unayaacha yote.....na ukikubali kuendelea nae basi usiwe wa kukumbushia.....yani huyu hata ampige fine lakini bila msamaha wa kweli bado ana kibarua kizito......
Kuna tofauti kubwa kusamehe kwa makosa ya kawaida na kusamehe kwenye issue zinazohusiana na relationship.. sister unaweza kunikosea nikakusamehe fasta hata kama ukiwa mpenzi wangu kama kosa halihusiani na betrayal.. Lakini kama ume-cheat sasa hiyo inakuwa ngumu kwa sababu its about heart now.. Heart control my emotions na kwa sababu my heart's broken to pieces hausikii la mtu.. Ninaweza kusema mdomoni & pretending but moyoni haifiki hata kidogo..

Haya ndo yanayomkuta Baby M now.. Hawezi kusamehe kwa sababu kusamehe sio tendo la hiari when it comes to mahaba nipige shoti.. Moyo wake umevunjwa vipande na moyo ndo umeshika usukani.. Ushauri wangu ni ule ule.. Akae waongee na kuyamaliza..
 
tupo tofauti.....mie kusamehe nasamehe haijalishi ni swala la mapenzi au laa.....yalishanikuta ila nikaamua kusamehe na maisha yanaenda ........

unajua ukiuendekeza moyo utakutesa sana......saa nyingine maamuzi yako yanabidi yapingane na moyo......

muhimu nachoona asali.....Mungu amsaidie aweze kusamehe na kusahau aendelee na maisha yake.....
 
Last edited by a moderator:

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,041
2,000
Ni ujinga na ulimbukeni tu hamna lolote. Huwezi kumnunia mtu usiyemjua eti kwa sababu tu mmelala pamoja
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,490
2,000
tupo tofauti.....mie kusamehe nasamehe haijalishi ni swala la mapenzi au laa.....yalishanikuta ila nikaamua kusamehe na maisha yanaenda ........

unajua ukiuendekeza moyo utakutesa sana......saa nyingine maamuzi yako yanabidi yapingane na moyo......

muhimu nachoona asali.....Mungu amsaidie aweze kusamehe na kusahau aendelee na maisha yake.....
Good for u sister.. Ila kwake atahitaji emotional forgiveness.. Kwa sababu ni process inaweza kuchukua muda mrefu but at the end of the day it may results in "a net removal of all negative unforgiving emotions"..
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom