Kamba nyeusi zinazovishwa watoto wachanga zina maana gani?

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,377
9,302
Habarini!

Naomba kujuzwa kuna katabia kakuwavalisha watoto wachanga pindi wanapokuwa wamezaliwa hasa hasa nyeusi, huwa sielewi nimeona kwa wengi sana bila kupata jibu la uhakika.Ila kuna mmoja alidai kamba ile inatenga kiuno na tako sasa na huku mkononi je?
 
Habarini!!!!!! Naomba kujuzwa kuna katabia kakuwa valisha watoto wachnga pindi wanapOkuwa wamezaliwa hasa hasa NYEUSI huwa sielewi nimeona kwa wengi sana bila kupta jibu la uhakika,,, ila kuna mmoja alidai kamba ile inatenga kiuno Na tako sasa na huku mkononi je?????????
Kama ni watoto wachanga,basi na wewe ulivaa hiyo kamba...anza wewe kuelezea mkuu.
 
Habarini!

Naomba kujuzwa kuna katabia kakuwavalisha watoto wachanga pindi wanapokuwa wamezaliwa hasa hasa nyeusi, huwa sielewi nimeona kwa wengi sana bila kupata jibu la uhakika.Ila kuna mmoja alidai kamba ile inatenga kiuno na tako sasa na huku mkononi je?
Kwanza elezea kwa nini wewe una ushanga mweusi kiunoni? halafu tuendelee.
 
Nlmuulzaga bib yang hlo swal, alinambia kuwa hvyo vtu vnasaidia kwa watoto wasiwe wanalia lia ovyo usiku.,,ye huyo mtoto alkuwa amevalishwa mkonon (na mama ake alnambia kuwa cku aspokuwa nayo hyo ktu, usiku mtoto atasumbua mno)
 
Hiyo kamba nyeusi inafungiwa kitovu cha mtoto kinapodondoka, nilishauliza nikaambiwa ni kwaajili ya kumlinda mtoto. Kutokana na nini? Sijui
 
HUU MUDA MNAOPOTEZA KUJIBIZANA BORA MGEENDA JAMII ITELIGENCY KUNA CHAKULA CHA UBONGO KULE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom