Maskini amekuwa mtumwa kwenye ardh/kiwanja alichonunua,nyumba aliyojenga lakini hajafaidi matunda ya furaha ya ulimwengu huu lakini tayari ameshawekwa kwenye himaya ya mwanamke
Sijafurahishwa na hicho kitendo ingawa wao wanamaisha yao nami ninamaisha yangu lakini naomba nimsaidie huyo baba kwa kuwa hana ndugu wala mtoto
Kama anayejua dawa ya limbwata naomba anitajie