Mapenzi yanauma jamani

Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende
Hongera na Pole kwa kufika hapo. You'll fall in love again and if favor is not on your side , you'll come to this again. Hayo ndo maisha- you don't choose the feelings , they choose you
 
Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende
Tena si kuuma tu muda mwengine "MAPENZI YANAUA PASIPO AJALI" kama hujaumia hujawahi kupenda
 
1465399130191.jpg
 
Dogo acha kulialia komaa na tuition kipindi hichi cha likizo mapenzi tuachie wakubwa zako utayakuta
Mkuu denis soma hoja yake anasena toka afikishe miaka 18 means keshavuka au tangu aanze kupenda labda aje achanganue vizuri
 
Huo ndio ukomavu sasa....
Ebu tiririka yalio kusibu ili vijana wenzio wajifunze machache kutoka kwako.
Kisha.....
Ukiumizwa usiwe sababu ya kutokupenda tena, sisi wazee tunasemaga..... kupenda ni kitendo hatarishi ingawa ni mchezo mtam sanaaaaa.... na maumivu hukuja tu pale mambo yanapo kwenda pasipo matarajio yako.

Asante.
 
Penzi la wanadamu si sawa na njiwa njiwa anadumu Kweli na mwenziwe hadi kifo au mmoja auzwe

Ya wanadamu kama mambuzi kumangana kila kona
Akikoswa na driver tax atapatwa na shamba boy.
 
Dah....Jamaaa keshanyonyolewa tayari jifunze kupenda kwa machale unapoanza kuona duble duble anza kuwahi wewe mapema kusepa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom