Welcome wife material

tipa10

Member
Apr 8, 2015
46
9
Am a man having 28 yrs, mwajiriwa goernment, mrefu, mweusi, mpole, mcha Mungu, dume halisi, mwenye uelewa na mahusiano. Binti wa vigezo hivi naoa fast 1) mcha Mungu (christianity) 2)mwenye true love, mpole na mnyenyekevu (3) asiwe mfupi, mnene sana, mweusi sana mwembamba sana ( 4) awe mtumishi gov/prvt (5) umri 21-26. (6) awe hajichubui na hanywi pombe (7) anaejitambua, na mwenye vision ya maisha.

Mwenye sifa pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom