Ushawahi choka mkeo?

Chum Kane

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
1,142
945
Habari zenu,
images.jpg

Nakaribia miaka 35.Nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka nane(8) sasa.Nina watoto wawili.
Tatizo langu ni kuwa maisha ya ndoa yamekuwa very boring.

Hisia zangu kwa huyu mwanamke kama hazijafa basi ni kidogo sana.Yaani narudi home kwasababu ya mazoea and nothing else.She is a good wife and a good mother.

But feelings arent there anymore.Is this normal?Sina mchepuko na vile vile siwezi muacha labda anipe sababu ya kufanya hivyo naweza sema kwa hali niliyonayo naomba hata aniache yeye.

Pumba na Point zinaruhusiwa.

Karibuni.
 
Mkuu kwanini usitafute kijiholiday muende sehem mbali kidogo na mazingira uliyoyazoea mkae huko hata mwezi mzima, mkutane na watu tofauti muongee vitu tofauti na mlivyozoea kuongea and have some fun..... am sure mkirudi mtakua kama mmeanza upya
 
Habari zenu,
Nakaribia miaka 35.Nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka nane(8) sasa.Nina watoto wawili.
Tatizo langu ni kuwa maisha ya ndoa yamekuwa very boring.Hisia zangu kwa huyu mwanamke kama hazijafa basi ni kidogo sana.Yaani narudi home kwasababu ya mazoea and nothing else.She is a good wife and a good mother.But feelings arent there anymore.Is this normal?Sina mchepuko,..na vile vile ssiwezi muacha labda anipe sababu ya kufanya hivyo...Naweza sema kwa hali niliyonayo naomba hata aniache yeye.
Pumba na Point zinaruhusiwa.
Karibuni.

pole sana hayo hutokea sana!
hebu wakati wa likizo mruhusu akatembee away from you kama mwezi akirudi unaweza kua umebadilika
 
Pole mkuu,wewe umemchoka sawa vipi umeshawahi kujua kama unamtendea haki na yeye?jitahidi kumuelewa na ongea nae kuhusu mahitaji yako pia mfanye awe mpenzi wako,awe rafiki yako km unapenda mwanamke awe tofauti na anavyofanya kaa nae chin mwambie,UNAWEZA KUMTENGENEZA MKE AKAWA MTU UNAYEMTAKA(ukishindwa nipe namba zake nkutengenezee,niondoe milima na kona kali then utamchukua nikimaliza kandarasi?)
 
Namba zake utanipa kwenye PM
natania,ushauri wangu ni hapo juu
 
Nafikiri wazee zamani walikuwa hawaachi wake zao sababu walikuwa na wake wengi
huwezi kumchoka mkeo kama ungekuwa unapata mda wa kum miss...
wanasema 'how can i miss you if you are always here'

labda ni phase tu itapita
au labda umemchoka kweli for good....

hebu safiri alone kama wiki mbili ujitathmini
 
Umemwona Erica hapo juu?
 
Habari zenu,
Nakaribia miaka 35.Nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka nane(8) sasa.Nina watoto wawili.
Tatizo langu ni kuwa maisha ya ndoa yamekuwa very boring.Hisia zangu kwa huyu mwanamke kama hazijafa basi ni kidogo sana.Yaani narudi home kwasababu ya mazoea and nothing else.She is a good wife and a good mother.But feelings arent there anymore.Is this normal?Sina mchepuko,..na vile vile ssiwezi muacha labda anipe sababu ya kufanya hivyo...Naweza sema kwa hali niliyonayo naomba hata aniache yeye.
Pumba na Point zinaruhusiwa.
Karibuni.
Kama dini inaruhusu oa mke wa pili
 
Back
Top Bottom