Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,782
- 4,108
Salaam wana-JF wenzangu,
Kama ilivyo ada wahenga walisema Mungu hakupi vyote na pia hakunyimi vyote.
Unaweza ukakuta mwanaume anavutia sana (handsome) na anagombaniwa na mabinti wengi ila hana habari nao kumbe nyuma ya pazia mashine haifanyi kazi.
Unaweza ukakuta bosi katika ofisi au mwalimu katika shule anapapara na ni king'ang'anizi wa kutaka kutembea na wafanyakazi wake hata wake wa watu kumbe akifika uwanjani goli moja miguu juu, chali kifo cha mende. Kaishia kumchafua binti wa watu bure.
Utakuta mwanaume ana maneno matamu na yanayofariji moyo sambamba na mapenzi motomoto kwny 6 X 6 ila kuhudumia 0.0005%. Hata uwe na shida kiasi gani utasomeshwa namba tu.
Utakuta mwanaume ana matamanio na mabinti na hana tatizo lolote ila domo zege, atakaejilengesha hata awe mbaya kiasi gani atatandikwa tu. Wengi wao ni wanachama wa CHAPUTA na wakitia mimba huzikataa kukwepa aibu.
Utakuta mwanaume ana moyo wa huruma, kujali na kusaidia ila baada ya msaada ni lazima aombe kuonja asali hata kama ana mke wake.
Utakuta mwanaume anapenda kumsifia mwanaume mwenzake, kumwambia maneno ya kimahaba kumbe mwenzetu kaharibikiwa ila anatafuta mbinu ya kufumuliwa rinda.
Haya sasa wanaume pia hawanyimwi vyote...
Utakuta mwanaume ana sura ngumu kama ya kwangu na hana kitu ila kwenye 6x6 lazima uombe poo. Na hawa wanatandika wake wa ma-hb wazembe kwenye 6x6 maana wake zao waliwakubali kwa kuangalia sura na sio ubora wa mashine.
Yapo mengi nyuma ya pazia, ongezea yaliyopungua.