mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Nakumbuka niliweka appointment kukutana na baby wangu hotel moja hivi, mfukono nilikuwa na elfu hamsini nilipanga kula naye lunch tu nikiamini itatutosha.Ghafla mpenzi wangu akaja na wenzake wawili,kibaya zaidi nilipowaambia waagize vinywaji mmoja aliagiza santana mwingine akaagiza dompoo baby wangu akaagiza grant ikabidi mimi niagize maji ya kunywa.
Wakati muhudumu alipokuja walimuuliza chips mbuzi akasema elfu kumi na mbili wakaagiza sahani nne huku wakiniuliza mimi nakula nini NIKAZUGA NAPOKEA SIMU NIKACHEKI NJE PIKIPIKI NIKAWAACHIA MSALA........ Nikaanza kupigiwa simu sipokei, baada ya masaa manne nikapokea ujumbe baby ulikimbia bure tu nilikuwa na laki tatu mfukoni na wale rafiki zangu ndo waligombania kulipua bili.