Hakuna utafiti unaoonyesha hasa idadi ya wanaume wanaolelewa,lakini kuna ushahidi wa kimazingira katika jamii ambao unazidi kushika kasi.
Je!vijana kupenda kulelewa ni ugumu wa maisha au ni uvivu...
kwanza nadeclare interest,mimi ni mfabiashara hapa downtown,nina frem yangu k/koo ambayo nalipia laki 9 kwa mwezi nafanya biashara ya Mpesa,aitel money na Tigopesa.
Aisee baada ya kufanya utafiti...
Mimi nina umri 27 rangi ya mwili maji ya kunde, mrefu wastani kazi yangu mtumishi wa serikali makazi kwa sasa nipo Sumbawanga Rukwa.
Nahitaji msichana mwenye upendo wa dhati na yuko tayari...
Kwa ambao hamja oa hebu tafuta cheo chako hapa.....
In case you are a man and not yet married,
these are the revised bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29...
Huwa nafikiria tu siku hii sheria ikapitishwa sijui itakuaje. Kwa kweli hawa watu siwapendi. Bora kwa sasa wanajificha wakifanya mambo yao,najiuliza tu wakitabuliwa na serikali watakavyojiachia...
Utamjuaje kama mtu anakupenda au magumashi. Moja katika maongezi yenu mwangalie vidole vyake kama vimenyoshwa wakati wa kuongea au vimekunjwa ukiona vimekunjwa ujue kuna ulakini. Pia soma elimu ya...
Naombeni mawazo yenu na ushauri pia,
Nilikuwa na mchumba na mahali alitoa ilibaki ndoa tu nikapata mimba kabla ya ndoa jamaa akasema mpaka nijifungue ndio tufunge ndoa kumbe alikuwa kampa binti...
Hi There,
Mimi ni mwanafunzi wa moja ya vyuo vilivyopo Dar es Salaam kwa ngazi ya Diploma ... Jinsia Ni KE, umri 21... Kwa kifupi napenda kutengeneza marafiki wapya kila siku na katika wao...
I would like to take this opportunity to thank you all for contributions you provided.
I also would like to thank all who sent pms, I tried to answer all pms as i received though I received more...
The subject refers,
I'm a man aged 27, living and working in Mwanza. I'm looking for any serious lady whom I can later make my wife.
She must be of not more than 26 years,A Christian and...
kichwa cha habari chahusika,katika maisha yangu ya kazi nimejifunza kitu kimoja muhimu sana,kwamba katika ofisi moja hakuna urafiki wa kweli kabisa. Nimejaribu kuwasikia mara kadhaa watu wakienda...
VIII. Sexual Immorality
An improper relationship with the opposite sex is probably the number one problem among teenage Christians. The increasing permissiveness of society has even entered into...
Hi guys, receive my greetings,
Mama wa bibi yangu amekua hapa kwetu for about two months now, she came for treatment, amepona 100% since one month ago, hii mwezi mwingine amekuwa akipumzika tu...
Habari wana JF,
Nauliza je kuna haja ya kuendelea kupina UKIMWI hata baada ya kupima katika zile nyakati za mwanzoni mwa uhusiano au kwakuwa wapenzi walisha pima wakati wa mwanzo wa uhusiano wao...
Wengi wanaotafuta wachumba humu huwa wanaweka na vigezo vya mwanaume wanae mtaka lakini huwa wanasahau kuweka na sifa zao zingine kama: mimi mchafu, mimi goigoi, mimi gume gume, mimi mgomvi, mimi...
Habarini wana JF,
Hivi tatizo la kuwa na hasira mara kwa mara na kuwachukia baadhi ya watu na hata ndugu wa karibu bila sababu yoyote tatizo huwa ni nini na ni kipi cha kufanya kuepukana na hii...