Same one to marry

Del Mole

Member
Aug 6, 2014
10
7
Mimi nina umri 27 rangi ya mwili maji ya kunde, mrefu wastani kazi yangu mtumishi wa serikali makazi kwa sasa nipo Sumbawanga Rukwa.

Nahitaji msichana mwenye upendo wa dhati na yuko tayari kuolewa pia awe na:
1.Umri 20>25
2.Mcha Mungu
3.Chocolate coular
4.Mpenda kazi
NB:Dini kabila tupa kule

Ni pm tuwasiliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom