Nilichojifunza kwenye biashara ya Mpesa,Tigopesa nk kuhusu wanawake na wanaume

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
kwanza nadeclare interest,mimi ni mfabiashara hapa downtown,nina frem yangu k/koo ambayo nalipia laki 9 kwa mwezi nafanya biashara ya Mpesa,aitel money na Tigopesa.
Aisee baada ya kufanya utafiti mdogo kwa miaka kadhaa ,nimebaini wanaume wengi wanaotumia hizi huduma mara nyingi utumia kwa ajili ya kutuma pesa,wakati wanawake wao utumia kupokea pesa.
Wateja wakiume wanapokuja kuweka pesa huwa nawatania "ndo maana haunenepi jombaa" na wale wakike huwa nawaambia "dada muonee huruma mwenzio"
Jamani watumiaji wakiume wa hizi huduma msichana akikuomba hela mwambie aje home kuchukua,tusiwe wepesi kutumia simu,you lose some you get some.
 
Kwanza hakuna fremu ya laki 9 k/koo muongo huyo

Alafu unaweza ukute kafunga
Mbon laki9 ya kawaida sana,zinazoangalia barabara ni ml 1.2,kkoo acha kabisa,isipokuwa hiyo biashara kkoo inalipa sana,wew licha ya airtel kuwa na watu wachache lakin mtu commission anakunja800k per month,sasa bado tigo,voda,zantel
 
Back
Top Bottom