Sexual Immorality

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,775
VIII. Sexual Immorality

An improper relationship with the opposite sex is probably the number one problem among teenage Christians. The increasing permissiveness of society has even entered into the Lord's church.

The strong sexual desire that is part of every human being is not sinful. It is a natural instinct of man placed there by the Creator for the good of mankind. However, with each natural, human desire God gives, He gives us also the responsibility to maintain control of it.

As with all matters studied in morality, we will examine human sexuality in the light of God's word. This lesson will show that God does not expect us to behave however we wish to fulfill these desires, but He has set limitations. Concerning sexual immorality, the apostle Paul states, "it is shameful even to speak of those things which are done," (Ephesians 5:12). The intention of this study is not to embarrass or offend the student but to frankly identify sinful behavior.

Nilipewa somo na shangazi yangu kuhusu hili, ninaomba niwashirikishe.
Shangazi aliniambia kukutana na mtu kimwili kuna maana kubwa sana, moja ya maana yake ni kujifunga na mtu yule katika ulimwengu wa roho. Unapojifunga katika ulimwengu wa roho kujifungua ni kazi sana, inabidi uwe na imani kali.

Hii inapelekea wadada na wakaka wengi kuchelewa kuolewana kuoa, kwakua walishajifunga katika ulimwengu wa roho na mtu walieshiriki nae tendo la ndoa mara ya kwanza. Ni vizuri kusubiri mpaka muda muafaka ukifika wa kushiriki tendo la ndoa.
 
Dada kusubiri tena? Me Nina miaka 25 nataka kuoa nikifikisha 35 unadhani nitaweza kusubiri? Ngumu kumeza hii
 
Ni kweli na hii ilikuwa ndiyo njia sahihi wakati wakina shangazi wanakuwa ila dunia ishabadilika mno...Mabinti siku hizi miaka 14 tu hawana kitu chochote either imetolewa kwa kucheza rede sijui ama vinginevyo....Na wanaume wengi tunaamini kutest kwanza kabla hujabeba jumla usije kuta umeuziwa mbuzi kwenye gunia so kiimani ni nzuri ila kiuhalisia wa sasa inakuwa ngumu..
 
1466265881903.jpg
 
unaongea ukweli mtupu! ila sio katika kizazi hiki, ukisubiri hadi uoe, unayemsubiri alishasubiriwa kabla hujawaza kumsubiri unayemsubiria
 
Ni kweli maana matamshi na tendo yana nguvu sana katika ulimwengu wa Kiroho. Ni muhimu kuvunja maagano yote kwa kufunga na kuomba kabla hujaiingia ndoani
 
Ni kweli na hii ilikuwa ndiyo njia sahihi wakati wakina shangazi wanakuwa ila dunia ishabadilika mno...Mabinti siku hizi miaka 14 tu hawana kitu chochote either imetolewa kwa kucheza rede sijui ama vinginevyo....Na wanaume wengi tunaamini kutest kwanza kabla hujabeba jumla usije kuta umeuziwa mbuzi kwenye gunia so kiimani ni nzuri ila kiuhalisia wa sasa inakuwa ngumu..
Wengine kwa kubakwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom