Utafiti na ushahidi wa picha waonyesha katika mapenzi/ndoa wanaume wanazeeka mapema

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Proof women age BETTER than men!
je sababu ni zipi wanawake wakiendelea kuwa warembo wanaume wanazidi zeeka; Angali mfano wa ndoa yako?

article-3643929-3555077500000578-286_636x516.jpg
 
Men often have a handful of crap to deal with. If your lady don't climax, it's your fault; your lady on her period, it's your fault; your lady pregnant, it's your fault; she had a bad day at work, it's your fault; she cheats, it's your fault; mods ban her on a regular, it's your fault. Why wouldn't you age?

But it's all good tho, wouldn't switch positions. Let us age fast, so they the ones be changing our diapers. Blessed be our ladies.
 
Ingependeza kama ungeweka umri wao pia kwa sababu kwa kawaida wanaume huoa wanawake wadogo kiumri ukilinganisha na umri wao kwa mfano mimi hapa nimemzidi mama Ngina kwa miaka 15, wakati mwaka huu nikijongelea 45 mama ngina ndiyo kwanza anaingia mwaka wa 30 sasa ukiona picha zetu utasema mimi ninazeeshwa na Mapenzi?

Hata hivyo tafiti mbalimbali zimethibitisha kwamba mzigo mkubwa katika ndoa hubebwa na mwanaume katika kuhudumia na kuhakikisha familia iko salama, kwa muktadha huo unatarajia bado mwanaume abaki salama?

Huo utafiti mimi ninauita ni utafiti uchwara.
 
Mmh, tofauti ya miaka 15? Ukiwa 60 yeye ndio libido yake iko juu zaidi, hapo kutandikiwa ni 'given'.
 
Men often have a handful of crap to deal with. If your lady don't climax, it's your fault; your lady on her period, it's your fault; your lady pregnant, it's your fault; she had a bad day at work, it's your fault; she cheats, it's your fault; mods ban her on a regular, it's your fault. Why wouldn't you age?

But it's all good tho, wouldn't switch positions. Let us age fast, so they the ones be changing our diapers. Blessed be our ladies.

Hhahahahahaaaa I can imagine you being changed your diaper by your lady hehehehehee ntakuwa nakuja kukuchungulia.

My regards to Silas.
 
Haahaaaaa hii kali
 
Of course ng'ombe hazeeki maini, na mwanamke ndo ua na pambo hivo pia asilimia 60 ya hela ya mwanamme inatumika kumrembesha, kumtunza na kumlisha mke wakati yeye mwanaume anatumia asilimia 10 tuu ya pesa zak anazozitafuta asilimia 30 inaenda kwa watoto na wazazi na jamii inayomzunguka. Hapo lazima mwanaume azeeke haraka kumzidi mwanamke hata kama ni agemate.

Poleni wanaume wanawake tunang'ara hasa sie ambao hatujazaa.

Kasie.
 
Hhahahahahaaaa I can imagine you being changed your diaper by your lady hehehehehee ntakuwa nakuja kukuchungulia.

My regards to Silas.

Haha. That's only a figure of speech. Can't let myself get to that state literally.

Kuhusu kunichungulia, we can work that out regardless. Just say the word.
 
bado sijathibitisha na kwa tafiti za nyumbani, baada ya miaka mitano nitarejea kuwaangalia Diamond > Zarina, Harmonize > Wolper, Idris > Wema, Mose Iyobo > Gwantwa Ezekiel, Billnas > Linah, Aslay > rubii, Baraka > Naj Uhuuuuuuu orodha ni ndefu kwa leo tuishie hapo, halafu ndo nitaamini huu uzi una ukweli au la!
 
  • Thanks
Reactions: THT
Haha. That's only a figure of speech. Can't let myself get to that state literally.

Kuhusu kunichungulia, we can work that out regardless. Just say the word.

Its not about letting yourself being in that state, unajikuta tuu imekuwa hivyo and you have no choice than to let being changed the diaper.
Sikuchungulii sasa hivi, ntakuchungulia wakati huo ukiwa in the process of diaper changing

The word is my regards to Silas ....:p:p:p
 
Unakamua fresh & concentrated protein kila usiku zinaenda kumfanya anawiri wakati sisi tunakauka.
Madhoruba yote ni yetu kuanzia asubuhi hadi jioni. Jumatatu hadi jumapili. January hadi December.
Na pia vipara vyetu ni kwasababu ya kukuna vichwa.
 
Back
Top Bottom