Mawazo yako ni muhimu sana hapa.

Unbelievable

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
262
115
Hakuna utafiti unaoonyesha hasa idadi ya wanaume wanaolelewa,lakini kuna ushahidi wa kimazingira katika jamii ambao unazidi kushika kasi.

Je!vijana kupenda kulelewa ni ugumu wa maisha au ni uvivu wa kufikiri?
 
f7fccefbe91958455f5ce0646dd14ef0.jpg
 
mimi sijaelewa kumbe wanawake tunavyo waweka ndani ni haki yao lakini wanaume tunapokwama tukatumia pesa za wanawake ni kosa......?
 
Kosa kubwa sana......mwanaume asili yake atafute hela......
maisha yana kupanda na kushuka inawezekana mpenzi wako mmepitia maisha ya karaha shida na tabu zote...bahati ikawa yake msichana akawahi kupata kazi yenye kipato kikubwa then niachane nae kwakuwa ana kazi mimi sina kwani kwa kuendelea kukaa nae si atakuwa ananilea........?
 
uvivu wa kutafufa, ugumu wa maisha upo miaka yote ila sio kigezo cha kujirahisisha ulelewe...pia ni malezi mabaya kwa wazazi hasa upande wa baba, baba kama baba hatokubali jembe lake liishie mikononi mwa mwanamke lilishwe huko n.k,
 
maisha yana kupanda na kushuka inawezekana mpenzi wako mmepitia maisha ya karaha shida na tabu zote...bahati ikawa yake msichana akawahi kupata kazi yenye kipato kikubwa then niachane nae kwakuwa ana kazi mimi sina kwani kwa kuendelea kukaa nae si atakuwa ananilea........?

Sio kwa angle hiyo unayoiona wewe.......
Kuna wenzio wanatafuta waliotafuta tayari wanajiweka hapo........nyoko kweli.......
 
Back
Top Bottom