Umechemsha, mtu siyo km gari unayoenda dukani ukiwa na specifications, hakuna binadamu aliyekamilika kwa 100%, unapooa kuna mambo inabidi uyapuuze kwa manufaa ya maisha ya ndoa. Fahamu kua walioko huku JF ni binadamu tu km hao uliopo nao huko mtaani, ukichagua sana unaweza ukose atakayekufaa.Habari zenu wapendwa.
Tafadhali husika na kichwa tajwa hapo juu...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28 nimekuja katika jukwaa hili pendwa la "love connect" kutafuta mchumba/rafiki wa kike ambaye ningependa tuje kuanza mahusiano ya kuwa mke na mume kwa maana ya kufunga ndoa baada ya kufahamiana.
Mpaka kufikia kuandika uzi huu hapa sio kwamba huku mtaani siwaoni mabinti...la hasha wapo wengi tuu ila kwa kweli bado sijampata binti ambaye angalau amekidhi vigezo vya kuwa mke wangu mtarajiwa. Kwa maana hiyo nimeona ni vizuri pia nikatembelea hapa cuz najua wapo mabinti wazuri tuu wenye tabia njema na ambao ni wife material kabisa. So binti yeyote mwenye sifa hizi asisite kuni pm tuyajenge;
Sifa za ninayemhitaji:
-awe na tabia njema
-mcha Mungu
-awe mkristu wa dhehebu lolote
-elimu at least kuanzia form 4 na kuendelea
-awe mfupi/mrefu/mweusi/mweupe sawa tuu hakuna shida ila awe na good looking, msafi na anayejijali
-umri miaka 20 - 28, na asiwe wa kutoka makabila ya pwani.
-awe na umbo la kawaida mwembamba, mwenye umbo la kati watapewa kipaumbele.
-pia asiwe na mtoto wala historia ya kuolewa na kuachika
Sifa zangu
-Nina elimu ya chuo kikuu ngazi ya shahada
-Kabila langu ni mchagga
-Nimejiajiri kwa maana ni mfanya biashara.
-Umbo langu ni mrefu, mwembamba...
Aliyekidhi baadhi ya sifa tajwa hapo juu karibu pm tuyajenge.
Asanteni....
Mkuu mbona vigezo nilivyoweka ni vya kawaida sana, kila mdada wa kawaida anaweza akavi- afford?Kwa vigezo hivi?Ndio maana huko mtaani umeshindwa kumpata huyo 'life partner'.
Na kwanini unafikiri hawa walioko humu sio hao ulioko nao mtaani?
Kwani members wa humu wana kijiji chao cha kusadikika?
All the best anyway.
mbona masharti ni mepesi sana mkuu? Anyway nashukuru kwa mchango wako...Umechemsha, mtu siyo km gari unayoenda dukani ukiwa na specifications, hakuna binadamu aliyekamilika kwa 100%, unapooa kuna mambo inabidi uyapuuze kwa manufaa ya maisha ya ndoa. Fahamu kua walioko huku JF ni binadamu tu km hao uliopo nao huko mtaani, ukichagua sana unaweza ukose atakayekufaa.
Mkuu wakikupm type mlejesho umepata wangapHabari zenu wapendwa.
Tafadhali husika na kichwa tajwa hapo juu...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28 nimekuja katika jukwaa hili pendwa la "love connect" kutafuta mchumba/rafiki wa kike ambaye ningependa tuje kuanza mahusiano ya kuwa mke na mume kwa maana ya kufunga ndoa baada ya kufahamiana.
Mpaka kufikia kuandika uzi huu hapa sio kwamba huku mtaani siwaoni mabinti...la hasha wapo wengi tuu ila kwa kweli bado sijampata binti ambaye angalau amekidhi vigezo vya kuwa mke wangu mtarajiwa. Kwa maana hiyo nimeona ni vizuri pia nikatembelea hapa cuz najua wapo mabinti wazuri tuu wenye tabia njema na ambao ni wife material kabisa. So binti yeyote mwenye sifa hizi asisite kuni pm tuyajenge;
Sifa za ninayemhitaji:
-awe na tabia njema
-mcha Mungu
-awe mkristu wa dhehebu lolote
-elimu at least kuanzia form 4 na kuendelea
-awe mfupi/mrefu/mweusi/mweupe sawa tuu hakuna shida ila awe na good looking, msafi na anayejijali
-umri miaka 20 - 28, na asiwe wa kutoka makabila ya pwani.
-awe na umbo la kawaida mwembamba, mwenye umbo la kati watapewa kipaumbele.
-pia asiwe na mtoto wala historia ya kuolewa na kuachika
Sifa zangu
-Nina elimu ya chuo kikuu ngazi ya shahada
-Kabila langu ni mchagga
-Nimejiajiri kwa maana ni mfanya biashara.
-Umbo langu ni mrefu, mwembamba...
Aliyekidhi baadhi ya sifa tajwa hapo juu karibu pm tuyajenge.
Asanteni....
sawa mkuuUsijali mkuu hakuna linaloshindikana chini ya jua... mrejesho nitauleta very soon
umesomeka babaUmejieleza vzur sana Blacklist. Wanaokukosoa hawajui maana ya kuwa specific na unachokitaka
Unaogopa mafiga matatu??ni watu, ila tamaduni zao siziwezi...