Queen Rover
Member
- Apr 29, 2015
- 88
- 79
Hi There,
Mimi ni mwanafunzi wa moja ya vyuo vilivyopo Dar es Salaam kwa ngazi ya Diploma ... Jinsia Ni KE, umri 21... Kwa kifupi napenda kutengeneza marafiki wapya kila siku na katika wao najifunza mambo mengi tofauti tofauti, na kwa kua Jf imejuumuisha watu wengi na tofauti tofauti.. Nami ningependa kupata marafiki kwa wema tu kutokea humu. Tuchat tushauriane tubadilishane mawazo
Karibu whatsapp pia, sio lazima marafiki waongelee mapenzi huwez jua kupitia wewe unaweza kua hata mshauri ama msaada kwangu.
Sichagui umri, kabila, mahali wala rangi, karibu Pm marafiki.