Nimfanye nini huyu mama wa bibi yangu(mkwe) kwa tabia hii?

May 18, 2015
83
93
Hi guys, receive my greetings,

Mama wa bibi yangu amekua hapa kwetu for about two months now, she came for treatment, amepona 100% since one month ago, hii mwezi mwingine amekuwa akipumzika tu

Now, kuna hii behavior sasa mama mkwe ameanza kuonekana nayo, mimi narudi saa nne au tano usiku anatoka kwa room yake anakuja sitting room kunihoji kuwa nimetoka wapi saa hizo za usiku na kwamba nimelewa.

Mimi nakuwa na hasira kali nabaki niko kimya nikimuangalia tu, anakwenda kulala, ni mama mkora sana,On Saturday, nilienda kwa shule ya mtoto kuchukua results maana shule ilifungwa Friday, wakaninyima results ya kwamba sijamaliza school fees, wanadai mimi 200,000/= i was surprised because i gave my wife all the money at the beginning of the term back in January.

Nilipatwa na hasira mbaya sana, vile nimefika home usiku nikahoji wife, kwanini hakulipa fees yote, iko wapi laki mbili, akasema alipeleka kwa women group alikua wakimdai yeye, and she had other means, sasa nikamhoji what if mtoto angekatazwa asifanye exam?

I started beating her heavily, nilimupiga sana, mama yake akaja kwa mlango na kuingia kwa room yetu na kumtoa kwa mikono yangu na kwenda nae sitting room huku akisema maneno mbaya juu yangu, kwamba atachukua binti yake aondoke naye, guys can you imagine? Nikawaambia ondokeni saa hii, wakasema hatuondoki, niende mimi, nikaondoka nikaenda kulala kwa Lodge, hata leo nitarudi kulala kwa Lodge hadi huyo mama aondoke, na pesa ya kuishi siwapatii.

Hata chakula anataka wapike ile haina chumvi ati daktari amemkataza asikule ya chumvi, nimemwambia bibi yangu aambie mama yake aondoke arudi village amekataa hawezi rudi ati bado mgonjwa, mgonjwa gani anakua mkora namna hii?Can you guys find a solution for me before i loose my tamper na niende hapo nifukuze wote

Please advise
 
Wewe nawe iko na matatizo kidogo kwani haijui kama bibi yako yuko kwa Women group na apaswa kulipa hela? inaonekana humjali kwa shida zake ndogo au matatizo madogo au humpi ushirikiano kwenye shughuli zake ndogondog ndio maana ametumia hiyo hela ya ada, si vizuri alivyofanya ila wewe ndo umesababisha amefanya vile, kuhusu mama jaribu kuongea na baba mkwe yani baba ya mke wako kama yupo au wapo pamoja ili aweze kurudi kijijini.
 
Tighten your tamper neighbour. Loose it, and lose yourself.

Pengine uzee unamjia vibaya, so jaribu kumuelewa. And you can't go around beating or mistreating someone's daughter in their presence, and expect them to be cool with it. Tatizo kubwa kwenye hiyo ndoa ni mawasiliano mabovu baina yenu.
 
Una mpiga mke mbele ya mama ake? Hiyo ni dalili mbaya sana na ujumbe unaompa huyo mama mkwe ni kwamba unataka aondoke kwako..Anaweza kuondoka ila uhusiano wako na ukweni utakuwaje baada ya timbwili hilo..Nilidhani ungetumia nafasi ya uwepo wa Mama mkwe hapo kwenu kwanza kuficha matatizo yenu yote na ikitokea kama hilo la ada muite Mke baada ya watoto kulala muombe na Mama mkwe aje then umweleze Mama mkwe Ato Z juu ya tabia ya mtoto wake na umwombee mama mkwe amkanye tabia hizo kwani hufurahishwi nazo..
 
Hi guys, receive my greetings

Mama wa bibi yangu amekua hapa kwetu for about two months now, she came for treatment, amepona 100% since one month ago, hii mwezi mwingine amekua akipumzika tu

Now, Kuna hii behavior sasa mama mukwe ameanza kuonekana nayo, mimi narudi saa nne au tano usiku anatoka kwa room yake anakuja sitting room kunihoji kuwa nimetoka wapi saa hizo za usiku na kwamba nimelewa

Mm nakua na hasira kali nabaki niko kimya nikimuangalia tu, anakwenda kulala, ni mama mkora sana,
On Saturday, Nilienda kwa Shule ya mtoto kuchukua results maana Shule ilifungwa Friday, wakaninyima results ya kwamba sijamaliza school fees, wanadai mimi 200,000/= i was surprised because i gave my wife all the money at the beginning of the term back in January

Nilipatwa na hasira mbaya sana, vile nimefika home usiku nikahoji wife, kwa nn hakulipa fees yote, iko wapi laki mbili, akasema alipeleka kwa women group alikua wakimdai yy, and she had other means, sasa nikamhoji what if mtoto angekatashwa asifanye exam?
I started beating her heavily, nilimupiga sana, mama yake akaja kwa mlango na kuingia kwa room yetu na kumtoa kwa mikono yangu na kwenda nae sitting room huku akisema maneno mbaya juu yangu, kwamba atachukua binti yake aondoke naye, guys can you imagine? Nikawaambia ondokeni saa hii , wakasema hatuondoki, niende mm, nikaondoka nikaenda kulala kwa Lodge, hata leo nitarudi kulala kwa Lodge hadi huyo mama aondoke, na pesa ya kuishi siwapatii



Hata chakula anataka wapike ile haina chumvi ati daktari amemkataza asikule ya chumvi
Nimemwambia bibi yangu aambie mama yake aondoke arudi village amekataa hawezi rudi ati bado mgonjwa, mgonjwa gani anakua mkora namna hii?

Can you guys find a solution for me before i loose my tamper na niende hapo nifukuze wote

Pls advise
jinyonge mkuu, haizekani wakakufanyia hivyo!
 
Una mpiga mke mbele ya mama ake? Hiyo ni dalili mbaya sana na ujumbe unaompa huyo mama mkwe ni kwamba unataka aondoke kwako..Anaweza kuondoka ila uhusiano wako na ukweni utakuwaje baada ya timbwili hilo..Nilidhani ungetumia nafasi ya uwepo wa Mama mkwe hapo kwenu kwanza kuficha matatizo yenu yote na ikitokea kama hilo la ada muite Mke baada ya watoto kulala muombe na Mama mkwe aje then umweleze Mama mkwe Ato Z juu ya tabia ya mtoto wake na umwombee mama mkwe amkanye tabia hizo kwani hufurahishwi nazo..
Huyu kazoea huko kwako kunyanyapa na kudhalilisha wanawke!!
 
Kijana wewe ndiye una matatizo. Msikilize mke wako. Inaonekana huwa humshirikishi kwenye mipango yako, she is just there like a dinning table. Change you're mind toward her na mama mkwe ataondoka.
I thought u would say he is wrong kwa kumpiga lakini wa kutomshirikisha mambo ni huyo mwanamke anaekula school fees ya mtoto wake mwenyewe. Clearly huyo mwanamke ni sawa na mama yake tu. Na ndoa za hivyo Abadan hazidumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom