Yani siku hizi watu kama tumelogwa vile. Unakuta mtu mda wote anachati tu,mara whatsup,facebook,JF,badoo na nyinginezo. Hata mda wa kukaa na mpenzi wako haupo tena ni kuwa busy tu na simu.
Unakuta...
Halafu warembo wote 13 wanasema wanampenda sana huyo kidume na wanaishi pamoja kama familia ndani ya upendo huo. Ndio maajabu ya dunia. Mimi nimeleta taarifa tu, mademu wa JF msinitoe jicho kwa...
Habari wana JF nimekuwa nikifatilia sana wanawake wengi waliokuwa wanajiona wazuri na wanaringa wanakimbilia makanisani baada ya muda kuwakimbia.
Nasema hivi kwasababu nawafahamu wadada Fulani...
Habari Comrades.
Mi nataka kujua kitu kimoja, hivi hawa ndugu zetu, dada zetu wana matatizo gani hasa? Hizi story za matukio ambayo yanatokea almost kila siku kuhusu wanawake kupanga misheni za...
Mara nyingi nikipishana na msichana nisiyemfahamu lazima nigeuze shingo kumtazama kwa nyuma.Ni wengi wenye tabia hii mbaya,tabia inatupotezea mda sana hata kusababisha ajali.Hata nikiwa kwenye...
Nipo sehemu ya vinywaji natupia vyombo vichuichui viwili vitatu si mbaya hata kama hali ni ya hatari mtaani
Pembeni yangu kakaa Mzee mtu mzima kwa sana tu,but daa anavompapasa bar maid mpaka...
watu husema ukitabasamu ama kucheka unaongeza siku zako za kuishi duniani..
tabasamu katika nyumba nikitu muhimu sana sio tu hukufanya upendeze bali huongeza upendo katika familia na watu...
Hi,
Wanajamii leo nimeona nianzishe hii thread ya mtu kutoa dukuduku lake kwa kile kinachomsibu au kumkwaza katika maisha yake mfano ndoa,kazi,wivu au kusongwa na ndugu na kadhalika.
Najua...
Habari wanaJF,
Kaka yangu na shemeji wana ndoa kabisa ya kisheria na kiserikali. Huyu my bro yupo mikononi mwa serikali yapata 7 miezi sasa.
Ishu ni shemeji kuvumilia hawezi na kaniweka wazi...
Wakuu heshima zenu.
Kijana wenu bàada ya kupata mchango was mawazo yenu; nimeona sasa nimepata mwanga no namna gani ntaishi kwa hali yeyote ile.Ila niwashirikisheni kitu ni kuwa nimerudi tena...
Wakuu heshima zenu.
Kijana wenu bàada ya kupata mchango was mawazo yenu; nimeona sasa nimepata mwanga no namna gani ntaishi kwa hali yeyote ile.Ila niwashirikisheni kitu ni kuwa nimerudi tena...
Kristu Tumaini letu! (Mambo ya kwaresma yanaendelea)
IGWEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!
Jamani jamni ule usemi wa mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio ndo umeshika hatamu! Watu wanajiachia bongo hii hii...
Wakuu,
Wanawake wa bongo pamoja na kwamba vichwa vimejaa vumbi lakini bado wana mbinu za mizinga sio kidogo. Leo mke wa mtu kaniibukia asubuhi asubuhi:
Mke wa mtu: Habari shem, mbona kimya...
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.
Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na...
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama...
Wote tunajua kazi ya moyo ni kusukuma damu lakini pengine moyo huwa na kazi nyingine nyingi za ziada zaidi ya hiyo kuna watu wanatembea lakini mioyoni mwao wamebeba maumivu, karaha na manyanyaso...
Binafsi hupenda kusoma makala na vijarida mbalimbali kuhusu maisha, katika pitapita zangu nikakutana na makala moja ikieleza kuwa baadhi ya wanawake wembamba huwa hawapi hedhi.Naomba kujua na...