Simu zinatufanya tuwe vituko..

Simu zinatufanya tuwe vituko..

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,941
Reaction score
3,964
Yani siku hizi watu kama tumelogwa vile. Unakuta mtu mda wote anachati tu,mara whatsup,facebook,JF,badoo na nyinginezo. Hata mda wa kukaa na mpenzi wako haupo tena ni kuwa busy tu na simu.
Unakuta upo na mdada kwenye daladala anakumbia samahani kaka hembu nipige picha nirushie facebook. Yan kwa kweli simu zimekua ni shida tu.
Kuna application mpya kila siku zinatolewa na watu ili wasionekane ni washamba unakuta hizo zote zipo kwenye simu zao na wanazitumia kisawasawa.
Tujitahidi kuwa na muda na wenza wetu na kujicontrol kutumia simu muda mwingi hadi tunasahau wenza wetu.
 
Mitandao ya kijamii pamoja na 'smartphone' zimetufanya kuwa nusu wehu kwa kiasi fulani. Kwa mfano zamani mlikuwa mnatoka out na kwenda labda Hotelini mnakas Zero distance mnazungumza yenu mpaka mnamaliza lakini now mnatoka out mnaenda hotelini mnakaa Zero distance lakini kila mtu yupo na simu yake ana-chat,vivyo hivyo hata katika majimbani mwetu siku hizi familia inakaa sitting room kila mtu yupo busy na simu yake tofauti na zamani familia inakaa sitting room ina concetrate kwenye mambo ya kifamilia.

YAANI SIMU ZIMETUFANYA TUWE KARIBU SANA NA WATU TUSIOWAONA KULIKO WALE TUNAOWAONA.
 
Umesema vyema mkuu.
 
Demu wako asipokujali jua HUNA HELA

Hawa kama una hela hawezi shika hiyo simu yako ukiwepo,atalazimisha hadi akupe huduma ili ajihakikishie MPESA baadae
 
Mitandao ya kijamii pamoja na 'smartphone' zimetufanya kuwa nusu wehu kwa kiasi fulani. Kwa mfano zamani mlikuwa mnatoka out na kwenda labda Hotelini mnakas Zero distance mnazungumza yenu mpaka mnamaliza lakini now mnatoka out mnaenda hotelini mnakaa Zero distance lakini kila mtu yupo na simu yake ana-chat,vivyo hivyo hata katika majimbani mwetu siku hizi familia inakaa sitting room kila mtu yupo busy na simu yake tofauti na zamani familia inakaa sitting room ina concetrate kwenye mambo ya kifamilia.

YAANI SIMU ZIMETUFANYA TUWE KARIBU SANA NA WATU TUSIOWAONA KULIKO WALE TUNAOWAONA.
mkuu umeongea vyema sana
 
Verily verily I say unto thee with such improper use of technology and its devices the following consequences will happen in a short time to come(5years) People will have less social life-As a result their social skills will fade-With a mass of people without the social skills they will and always will hesitate to stand and unite against any form of injustice why? because they can't even talk to one another face2face thus they'll end up protesting in social medias for which is controlled and censored by the govt at large ....wait....are we looking forward to a generation of puppets YES! that's what is likely to happen in the near future.
 
Back
Top Bottom