Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,387
- 8,584
Habari Comrades.
Mi nataka kujua kitu kimoja, hivi hawa ndugu zetu, dada zetu wana matatizo gani hasa? Hizi story za matukio ambayo yanatokea almost kila siku kuhusu wanawake kupanga misheni za kuwaua waume zao, hii tabia inasababishwa na nini labda?
Maana sasa tutaanza kukosa imani na hawa tunaowaita wake zetu. Mi binafsi nashangaa mwanamke mzima unamframe mwanaume wako auliwe kisa Mali au wivu WTF? Sasa akifa wewe unafaidika na nini labda?
Tatizo huwaga ni nini hasa mpaka mnakuwa na roho za aina hiyo?