Daa kweli wanawake!

Daa kweli wanawake!

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,769
Reaction score
31,249
Nipo sehemu ya vinywaji natupia vyombo vichuichui viwili vitatu si mbaya hata kama hali ni ya hatari mtaani
Pembeni yangu kakaa Mzee mtu mzima kwa sana tu,but daa anavompapasa bar maid mpaka anamnyanyua fulana na huyu dada katulia tu aisee.Mzee anaonesha anaenjoy balaa.
"Kweli chombo cha starehe
 
Sasa hapo mwanamke kafanya nini, au huyo mzee nae ni mwanamke
 
Tatizo LA mdada ni kula pasta na babayake, na si vinginevyo SALT
 
Unatafta mlokole baa? Mzee anafanya jambo sahihi kwa mazingira husika
 
Unadhani huyo barmaid afanyeje? Uchumi mtaani umekaba hivyo anaona papaso la mzee mtu mzma kwa sana tu, huenda ukazaa japo kodi ya chumba na pesa za kuiweka sopusopu
 
Back
Top Bottom