Habari wana JF nimekuwa nikifatilia sana wanawake wengi waliokuwa wanajiona wazuri na wanaringa wanakimbilia makanisani baada ya muda kuwakimbia.
Nasema hivi kwasababu nawafahamu wadada Fulani Leo hii wanamtafuta yesu awe bwana na mwokozi wao.
Je hii inatokana na nini?
Kwanini mabinti wengi wakiwa under 30 years wanajiona wao ndiyo wao?
Muda ukiwatupa wanadai kumkimbilia Yesu? Wakiomba kuolewa ndiyo kilio chao?
Karibuni