Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 812
Habari wanaJF,
Kaka yangu na shemeji wana ndoa kabisa ya kisheria na kiserikali. Huyu my bro yupo mikononi mwa serikali yapata 7 miezi sasa.
Ishu ni shemeji kuvumilia hawezi na kaniweka wazi kanieleza yote ya moyoni kuwa anataka kutembea nami, sasa mimi nifanyeje jamani?
Hebu mpeni ushauri shemeji yangu afanye nini tofauti na kungonoka ili hamu zimuishe. Mimi bado sijampa jibu, naombeni majibu mazuri ili nikimueleza nieleweke.