Mbinu mpya ya kupiga mizinga?

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,661
Wakuu,

Wanawake wa bongo pamoja na kwamba vichwa vimejaa vumbi lakini bado wana mbinu za mizinga sio kidogo. Leo mke wa mtu kaniibukia asubuhi asubuhi:

Mke wa mtu: Habari shem, mbona kimya hivyo?

Mimi: Mishemishe kibao shem, muda hautoshi.

Mke wa mtu: Poa bwana, kwetu unakuja lini?

Mimi: Duh, sijui, ila nikipata muda.

Mke wa mtu: Shem nikuambie kitu?

Mimi: Bila shaka shem, wewe ni shemu langu la nguvu, jiachie tu.

Mke wa mtu: Shem kuna biashara moja nataka kufungua ila sitaki rafiki yako ajue (mme wake), ni nzuri sana, lakini nimepeleza mtaji kiasi cha mil 1 hivi, shem nakuaminia wewe ni mwanaume wa ukweli, huwezi kuniangusha kwa hili (masifa mengi mengi tu kanipa). Naomba unikopeshe hiyo m 1 nitakurudishia baada ya miezi miwili, au kama hutanielewa vizuri, tukutane sehemu tuongee.

Mimi: (Hatujazoeana kivile na huyu mke wa mtu, na jamaa yake urafiki wetu ni wa kawaida sana, nikashtuka, tego, mzinga au kitu gani!) Shem, una bahati mbaya kweli, nina kimeo hapa nilipo, vinginevyo hiyo hela ningekupa.

Mke wa mtu: Kimeo gani shem?

Mimi: (Akili kumkichwa, ukilemaa unaachwa feri) Shem kuna hela iliingia kwenye account yangu, kama US$ mil 1 hivi , sasa mimi sijui akina nani wameiweka na wala inatoka wapi, nimewaambia Bank (Mkombozi) sihusiki na hiyo hela, cha ajabu account yangu imewekwa kizuizini kwa uchunguzi zaidi, siwezi kutoa hela yoyote kwa sasa na sijui hatma yake (Hapa nilijitoa ufahamu, maana mzinga wa hivi hapana).

Mke wa mtu: Shem pole, sasa unafanyaje?

Mimi: Shem sijamwambia mtu mwingine isipokuwa wewe tu, naomba unyamaze, usimwambie mtu yoyote usije kunitia matatani, maana hii habari TAKUKURU wkiisikia itaoneka kama nahusika vile.

Mke wa mtu:

Mazungumzo yaliendelea sana ....


Nimejifunza kitu cha ajabu sana kuhusu wanawake kupitia huyo mwanamke, mbinu yangu ya kukwepa mzinga kwa kujifanya nipo matatani kwa kuingiziwa hela nisiyojua imetoka wapi kama Prof. Tiba imefanya huyu mwanamke awe ananiandikia message za nyegenyege tu muda wote. Sasa nimezinduka na kuelewa kwa nini wanaume wengi mabazazi wakikutana na mdada akafanikiwa kukaa naye meza moja, halafu bahati mbaya au nzuri pawepo na washkaji wengine pembeni, unakuta jamaa anaongea dili za mamilioni tu wakati hela tu ya kula ni mgogoro, lakini watu wa aina hii huwa wanakula wanawake kama vile wana hati miliki!

Onyo: Utajitafutia balaa kutongoza mwanamke, halafu katikati ya mistari unaingiza kistori fake cha dili za hela kubwa kubwa hata kama huna hata Tshs. 50,000, mbaya zaidi hela yenyewe uitaje kwa kuanza na US$, usipokula basi hata humu JF hakuna mdada utampata, utaishia kuchat nao tu!


Umegundua sasa kwa nini wanawake huolewa, halafu baada ya muda analalamika akidai jamaa yake haeleweki, mara hamjali au hana mbele wala nyuma? Mwanamke anaweza kusingizia mengi, ikiwezekana kukuambia kuwa hanifikishi kileleni, n.k lakini ukweli ni kwamba anashindwa kusema sitaki kuishi na mwanaume asiye na PESA/MBESA!
 
Bado hii hailalishi ulale na mke wa mtu au kumtamani . Ukiona mke wa mtu anafanya hivi mmrekodi nenda moja kwa moja kwa mumewe amkanye mkewe . Mke huyo kakosa maarifa!
 
Wanawake wakibongo siku hizi wanakera..!kuna mmoja/mchepuko yaani unanipiga mizinga mpaka sipumui vema,lakini siku akiingia katika hamsini zangu,yaani vumbi LA Kongo litausika 100% alafu napiga chini.
 
Bado hii hailalishi ulale na mke wa mtu au kumtamani . Ukiona mke wa mtu anafanya hivi mmrekodi nenda moja kwa moja kwa mumewe amkanye mkewe . Mke huyo kakosa maarifa!
Huwa nasemaga hivii... kama huna ujasiri wa kumfesi huyo unayemrekodi, achana na habari ya kupeleka audio za watu kwa wenza wao...
 
Kuna siri gani nyuma wanawake, kujifanya kufungua biashara au kununua kitu kama vile kiwanja bila mme wake kujua? Maana hii trend naiona sana.

mara nyingi huwa wana nunua kweli! wajinga wachache ndo hutumia kama mbinu yakuchuna.
ila yahitaji uwe na kifua niwe na kitu flan kuna siku tukiwa na furaha ntasema tu uongo na ni kipaji siwezi
 
Na wanawake nao wakiongelea pesa basi mwanaume anaganda, ukitaka akukimbie sema hauna pesa au unamuomba halafu baadae utamjua ni atatimka kwa hiyo maiaha ya hivyo ni 50/50.

Mmetuzidi kwenye nyie ndio mnaitumia sana na wanawake sijui niseme wasichana hawana mbinu za kutengeneza habari labda awe amekubuu na hana shida sana ndio anaingia mkenge wenu kirahisi.
 
mara nyingi huwa wana nunua kweli! wajinga wachache ndo hutumia kama mbinu yakuchuna.
ila yahitaji uwe na kifua niwe na kitu flan kuna siku tukiwa na furaha ntasema tu uongo na ni kipaji siwezi

Lengo la kuwa na mali kisirisiri ni nini?
 
Wanawake wakibongo siku hizi wanakera..!kuna mmoja/mchepuko yaani unanipiga mizinga mpaka sipumui vema,lakini siku akiingia katika hamsini zangu,yaani vumbi LA Kongo litausika 100% alafu napiga chini.

Mkuu na Magu jinsi anavyokaza kila kukicha atawaua, mpaka miaka 5, sipati picha, maana walikuwa wanahongwa hela nje nje kumbe za wizi, mimi hela mwanamke hapati kiholela, mkome!
 
C mnasemaga madili meNgine mke hapasw kushirikishwa???? naye huenda ameamua mme asimshirikishe.

Nikikugundua, talaka hapohapo, maana nitaamini hizo hela za kufanyia hayo madili ni za kuhongwa, utajuuuuuuuuuuuuuuuuta!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom