Sasa nipo tayari kwa ndoa

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,316
Wakuu heshima zenu.
Kijana wenu bàada ya kupata mchango was mawazo yenu; nimeona sasa nimepata mwanga no namna gani ntaishi kwa hali yeyote ile.Ila niwashirikisheni kitu ni kuwa nimerudi tena kumtafuta my wife katika jukwaa hili.
Sichagui sana ila lazima awe maji ya kunde na mwembamba kidogo.Mengine ni majaliwa

Nawasilisha
 
Ila hapa angalia usije opoa mwanaume mwenzio ukahisi unamikosi
 
Back
Top Bottom