Hii ni Afya ya Mahusiano ya Mapenzi

Princess21

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
272
266
watu husema ukitabasamu ama kucheka unaongeza siku zako za kuishi duniani..

tabasamu katika nyumba nikitu muhimu sana sio tu hukufanya upendeze bali huongeza upendo katika familia na watu wanaokuzunguka ndio maana mara nyingi huwa tunajitahidi kufanya ama kuongea mambo ambayo yatafurahisha watu tulio kuwa nao karibu.

tabasamu la mpenzi wako ni tofauti na la rafiki yako, ukiwa na mpenzi wako ni vyema ukafurahi kutoka moyoni, kwani ni ndani ya moyo ndio upendo wenu huanzia, hatakama watu wametukwaza, hatakama mpenzi amekukwaza, kumbuka ukimpuuzia na kutabasamu huwa ile hali ya hasira hutoweka kabisa.

mke hupenda kumuona mume wake akitabasamu na mume pia hivyo hivyo, basi tusinyimane furaha ya tabasamu.
 
Ahsanteni mliosoma, maana nikiandika tread za maana utaona wachache sana wanashiriki, lakini ukigusa sekta ya NGONO NA PESA heeeeeee watu 1k wana view na 1000 wana comment.
 
Ahsanteni mliosoma, maana nikiandika tread za maana utaona wachache sana wanashiriki, lakini ukigusa sekta ya NGONO NA PESA heeeeeee watu 1k wana view na 1000 wana comment.
Unirekebishe kama nimekosea na unisamehe kama nimekukwaza hujawahi kuandika thread yeyote ile ya maana wewe zaidi ya kutangaza ngono tu hapa halafu eti unasema ukiandika za maana watu ni wachache..Pambaaf
Cheki haya mapicha yako uliyowekaga kwenye ile thread kule.
d916cc494ffcb43b03a5278fb0da9b29.jpg
 
Back
Top Bottom