adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,637
Hi,
Wanajamii leo nimeona nianzishe hii thread ya mtu kutoa dukuduku lake kwa kile kinachomsibu au kumkwaza katika maisha yake mfano ndoa,kazi,wivu au kusongwa na ndugu na kadhalika.
Najua katika hali ya kawaida hakuna asiye na matatizo ila tu yanapishana kuna wenye makubwa na madogo ila haijalishi yote ni matatizo tu.Mazingira tunayoishi yamekuwa sio rafiki yaani usaliti uonevu ndugu kukusonga kwa mabaya.
Kudharaulika hivyo kujikuta katika wakati mgumu wa kutaka hata kujikimbia ila ni kitu kisichowezekana bali kinachowezekana kwa wakati huo ni kukabiliana na changamoto hizo yaani ifikie mahali matatizo yakuogope.
Nianze na mimi maana pia ni mhanga wa malimwengu.
Sina raha wala amani ingawa najitahidi japo kuandika huu uzi ila machozi yanachuruzika kwa jinsi ndugu zangu wanavyonisema vibaya hadi kwa watu wa nje kitu kinapelekea hadi watu wanidharau na kunishusha ujue heshima huanzia ndani hivyo ikitokea wakakudharau ujue hata nje itafika utaonekana huna maanaIila yote namwachia Mungu iko siku ataniinua katika daraja la heshima.