OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,034
- 114,424
Mara nyingi nikipishana na msichana nisiyemfahamu lazima nigeuze shingo kumtazama kwa nyuma.Ni wengi wenye tabia hii mbaya,tabia inatupotezea mda sana hata kusababisha ajali.Hata nikiwa kwenye gari lazima nimtizame kwenye kioo.Tunawezaje kuepuka hili wataalam wa mambo ya saikolojia?