Neno langu la leo
Dunia inabadilika na maisha yanabadilika zile zama za mwanamke kunyoosha miguu unasubiri kuletewa kila kitu zilishapita, mwanamke mjanja sasa hivi ni kutafuta chake kwa nguvu zake zote. Zipo sababu nyingi sana za mwanamke kufanya kazi mojawapo ikiwemo kujitegemea lakini vilevile kama unachangia chochote kwenye familia hata mme atakuheshimu.
Na sisi wanaume zile zama za kuwazuia wake kufanya kazi eti wakae nyumbani zimepitwa na wakati, unaweza kuwa na uchumi mzuri lakini hakuna aijuaye kesho leo hii umetoweka dunia na hukumjengea mkeo msingi mzuri wa kujitegemea atashindwa kuendesha familia na kupelekea watoto wako kuishi kwa shida.Lakini vilevile hata kwa wanawake kama unafanya kazi ni vigumu ndugu kuingilia mali endapo mmeo amefariki maana kuna mkono wako pale laki kama wewe ni wa kukaa nyumbani tegemea ndugu kukunyang'anyana mali za ndugu yao.