juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kuna tabia ya ajabu sana imejengeka hapa nchini ya kuwadhihaki na kuwadhalilisha wanawake wote kiujumla kwamba eti hakuna mwanamke wa peke yako,yaani maana yake ni kwamba eti hakuna mwanamke wa mwanaume mmoja na kwamba eto kila mwanamke basi ana wapenzi zaidi ya mmoja,kwamba ana ndoo na kidumu.
Jambo hilo si la kweli kabisa nimejilidhisha ya kwamba wapo wanawake wengi tu ambao wana mpenzi mmoja tu,mfano mpenzi wangu wa sasa kwa kweli ninemfuatilia sana kimyakimya nimegundua hana mwanaume zaidi yangu,sasa kama namtosheleza kwa kila anachotaka unadhani atafuata nini kwa wengine? watu mnasalitiwa kwasababu ya mapungufu yenu tu,unakuta matumizi humsaidii,akiwa na tatizo la kifamilia humsaidia na kwenye kitanda mapenzi hujui,unapiga kimoja tu chali,sasa hapo ataacha kuchepuka kweli?