Wanajamvi, habari za majukumu?
Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa.
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu.
Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu,baada...
Aina 5 za
vitambi ambazo zinaweza kufanya ndoa yako ikawa shubiri.
1. Kitambi Mvurugo - hiki kimekaa
kama O,
kinapatikana kwa kula sana kitimoto.
2. Kitambi Mchuchumio - hiki kipo
kama D...
Mwanamke ana utu kama vile ulivyo wewe mwanaume. Anapenda na kutarajia kuheshimiwa wakati wote. Huumia sana anapotukanwa au kudhalilishwa. Anajisikia vizuri pale anapoheshimiwa.
Mke wako...
Inadaiwa kwamba tukio la awali la serikali yoyote duniani kupambana na ushoga ni lile lililotokea kule Marekani Julai 6, 1969. Mapambano kati ya Polisi wa nchi hiyo yalitokea kwenye kitongoji cha...
Habari wana jf,
Mimi ni kijana wa kiume naishi dar nimeajiriwa na taasisi ndogo ya fedha dar,natafuta mchumba ambaye yupo serious mwenye vigezo vifutavyo
1.awe mkisto
2.awe mrefu wastani na mnene...
Habari zenu wana jf
Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja nikaamua kumpiga kibuti,baada ya kumpiga kibuti nimeshangaa kukuta ameniadd kwenye group la wanawake wenzake waliyosomaga...
Hii imenitokea wiki mbili zilizopita.
Niko mkoani Arusha kuna kaka mmoja katokea kunipenda na huyu kaka ni mume mtarajiwa ana huyo mchumba wake jina kapuni. Kiuhalisia huyu kaka hajampenda huyu...
Kwa ambao hamjaelewa Title ni kuwa :
Tangu nile kiapo binafsi Tarehe Moja April (cku ya wajinga) kuwa nimeachana na kale ka mchezo ka kijinga ka kupiga p***nyeto sasa jana Mei Mosi (cku ya...
Mwenyezi Mungu alipotuumba sisi Wanaume nadhani alikuwa na makusudi yake mazuri tu na hasa katika kusimamia Familia zetu na kuwa Viongozi kwa wale waliotoka ubavuni kwetu na tukapewa tunu nyingi...
Habari za mda huu wana jukwaa?
Namshukuru Mungu kwa kunifikisha siku ya leo nikiwa mzima wa Afya njema.
Naomba msaada wa mawazo au uzoefu katika swala hili la zawadi kwa watoto wetu wapendwa...
Niko na mke wangu zaidi ya mika 10 sasa na tumebahatika kupata watoto 2.
Kutokanana na kua mke huyo anatatizo kidogo la uzazi wake ni wa mbali tukashauriana niengeze mke wa 2 hasa kwa vile dini...
Hii video inachochea mawazo, jamaa ana gari nzuri la kisasa, halafu kwanza anaanza kuwatongoza mademu tofauti kwa maneno matupu. Wanampita na kumrushia kejeli huku wakijiita wastaarabu na wengine...
Nina mpenzi wangu ambaye anasoma chuo hapa mjini
Niseme tu kuwa mimi ndo namuweka hapa mjini kwa asilimia kubwa maana mzazi wake hapa karibuni kayumba kidogo na huyu binti hana mkopo ivyo...
Mimi ni kijana wa kiume;naishi dar nafanya kazi taasisi moja ya kifedha hapa jijini dar,nafuta mchumba ambaye yupo seriousy takakae kuja funga naye pingu za maisha
Vigezo
Awe mweusi na mnene...
Mpaka Leo nimeshindwa Kuelewa Kwanini vijana wengi wa sikuhizi wanaishi maisha ya kutafuta attention ata katika mambo ambayo kimsingi hayaitaji sifa wala mijadala ya kubuguzi wengine mfano unakuta...
Nimecopy na kupaste.
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa,mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lin? Wengine wakasema leo asubuh,wengine muda sio mrefu.Muwezeshaji akawaambia kila mmoja...
Habarini dada zangu,
Kwa wale wenye matatizo mbalimbali poleni,
Kwa dada zangu wanaotumia angels pad hivi kile kipimo kilichomo kwenye pad za angels kinatumika kupima nini hasa?
Kwa wale...
Siku hizi si ajabu kumkuta mwanaume anapigwa na mke wake/mpenzi wake, kaka zangu mkipigwa na wake zenu/wapenzi wenu mnauwezo wa kuyahadithia nje? Hii ni janga lililoibuka na wanaume wengi...