GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Mwenyezi Mungu alipotuumba sisi Wanaume nadhani alikuwa na makusudi yake mazuri tu na hasa katika kusimamia Familia zetu na kuwa Viongozi kwa wale waliotoka ubavuni kwetu na tukapewa tunu nyingi tu za ziada ambazo mpaka dunia imalizike waliotoka ubavuni mwetu hawataweza kuwa nayo.
Ni aibu sana Mwanaume mzima ambaye unajifanya mjanja, mtoto wa mjini, shababi na tajiri kila ukienda kutongoza Wake au Mademu wa wenzako gia au silaha yako kubwa kama siyo Fimbo yako ya ushindi ni KUMSEMA MWANAUME MWENZIO ( mwenye Mke / Demu ) wakati UKIMTONGOZA.
Hivi huwa hamuwezi KUTONGOZA kwa gia zenu wenyewe pasipo kumsema Mshkaji au Mpenzi au Mume wake. Mnapata FAIDA gani mnapowakandia Wenzenu?
Kwanza umetenda Kosa la KUMTOKEA na KUMTONGOZA Demu / Mke wangu halafu tena kama haitoshi badala ya " kutiririka " kivyako vyako ili UFANIKISHE lengo lako unanikandia na kama hii nayo haitoshi umeshamtongoza na ukafanikisha lengo lako bado tena unaleta DHARAU hivi Mtu kama Wewe NIKIKUROGA uvute shisha na uwe shoga mpaka Kifo chako nitakuwa nimemkosea kweli Mwenyezi Mungu?
Na nyie Mademu / Wake zetu ni " HOPELESS " kabisa yaani linakuja tu lianamume kutoka huko lilikotoka linakudanganya na kunikandia Mimi Laazizi wako na Wewe kwa akili zako za kushikiwa unalegea na kumuamini hadi " kukojozana " nae na baadae ukija kugundua yale yote uliyoambiwa hakna hata moja la ukweli unajifanya KUJUTA na KUSIKITIKA.
Namalizia kwa kusema tena Wanaume wenzangu TUACHE HUU USHAMBA na ni vyema kama huna SUMU za KUTONGOZA basi uje TUKUFUNDISHE ili uweze kung'oa KIULAINI tu kuliko KUKASHIFIANA mbele ya Mademu / Wake zetu na nyie Dada / Mademu / Wake zetu jaribuni kufanya UCHAMBUZI wa KINA pale UNAPOTONGOZWA na Mwanaume tena hasa yule ambaye akija kwako anaanza kumsema Mpenzio / Bwana wako / Mumeo.
Message sent and delivered. Kila la kheri na asubuhi njema nyote!