Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Habari zenu wana jf
Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja nikaamua kumpiga kibuti,baada ya kumpiga kibuti nimeshangaa kukuta ameniadd kwenye group la wanawake wenzake waliyosomaga
Pamoja shule ya wadada watupu
Nikijitoa ananiadd tena nikimwandikia text ya kumwambia anitoe hajibu ,,,,
Sasa mimi napokea sms za wanawake tu whatsapp yani sipend sipend
Niilikuwa naomba msaada wa anayejua kujitoa kabisa whatsapp kwenye ligroup lao la wanawake au mnifanyeje huyu mdada? Maana nimechoka kupata matext ya kijinga na umbeya tuu