Ni mwezi mmoja sasa tangu nipige punyeto kwa mara ya mwisho

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,899
3,683
Kwa ambao hamjaelewa Title ni kuwa :

Tangu nile kiapo binafsi Tarehe Moja April (cku ya wajinga) kuwa nimeachana na kale ka mchezo ka kijinga ka kupiga p***nyeto sasa jana Mei Mosi (cku ya wafanyakazi) NIMETIMIZA MWEZI MMOJA RASMI.

Yaan ni mafanikio MAKUBWA sana.
Maana nimefanya huo mchezo tangu naingia standard Seven 2004 mpaka nimemaliza degree yangu UDSM 2015 Mpaka trh 31 March 2016 ndio ilikua last day..
Kimahesabu ni takriban miaka 12 na ushehe hivi.. (now I am 26)

Hivo wana MMU ili niendelee kusimamia testament yangu nikirud nyuma naombeni MNIPIGIE HATA TUMAKOFI jaman nipate morali..

N. B:muda wote huo nilikuaga bize na shule, hivo ckua intact na MADEM sana.
 
sio wewe ulipiga nyeto na mkono wa kulia mpaka mkono mwingine umeanza kuona wivu kama vile unaucheat
 
hhongera....mimi nilijaribu kuacha wiki moja tu yakanishinda...maana demu akinisumbua kidogo tu sina shida nae tena.....ntaacha nikioa....hongera sana japo mm nilianza mwaka 2003 to date....
Hahaaaaaaaa bingwaaaaaa
 
Back
Top Bottom