Thesnooperman
Member
- Jul 3, 2013
- 55
- 3
Jamani nimechoka kuwa mpweke Nina miaka miwili nipo single;so nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati; umri kati ya miaka 20 mpka 25;
msichana mwenye serious relationship
Picnic za wapi mkuuMkuu Haina haja ya kuweka mke nyumbani kwani ni vichefuchefu hawafai kabisa utakuja juta ,kama uko kwa Arusha wewe tafuta tu rough riders uwe unaenda yale maeneo ya picnic mkuu utapata wa kukuliwaza kuliko hawa pasua kichwa kaka