estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Hii imenitokea wiki mbili zilizopita.
Niko mkoani Arusha kuna kaka mmoja katokea kunipenda na huyu kaka ni mume mtarajiwa ana huyo mchumba wake jina kapuni. Kiuhalisia huyu kaka hajampenda huyu dada yani anavyomponda hadi huruma. Huyu kaka akiomba pesa anatumiwa. Kwa kifupi huyu kaka yuko kimaslai na si kwa upendo wa dhati yani akipigiwa simu na demu wake atalalamika wewee hadi huruma.
Yani kwa ufupi atamponda akimaanisha anajuta kuwa nae. Na huyu kaka ananipenda sana, tatizo sijamuweka kabisa akilini na bado sijafanya nae tendo na sina mpango huo. Nikimchunia tu siku kadhaa bila kumtumia SMS lazima aibuke na kunihoji ''whats wrong'' na isitoshe tuko nae ofisi moja halafu kaniambia tufanye siri.
Nasisitiza sijampenda kabisa
Ushauri please, matusi sitaki