Video: So any woman can fall for a cute car

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,228
50,379
Hii video inachochea mawazo, jamaa ana gari nzuri la kisasa, halafu kwanza anaanza kuwatongoza mademu tofauti kwa maneno matupu. Wanampita na kumrushia kejeli huku wakijiita wastaarabu na wengine wanamkomesha kwamba wapo ndani ya mahusiano na waume zao. Lakini pale anawaonyesha gari lake, ghafla wanabadilika na kuwa tayari kwenda na yeye kokote kule.

Hadi kuna wale wanawaacha wachumba wao papo hapo.

 
Back
Top Bottom